Tuambieni ukweli, mmejiapisha pamoja na matatizo mengine ya vijana kuuawa ila Mungu wangu husema malipo ni hapahapa Duniani

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2019
Posts
11,613
Reaction score
13,543
Wakuu kwema nilisema na tulisema, ila malipo ni hapahapa Duniani.

Naomba toa ujumbe wa njozi yangu juzi kuamukia jana . Na naomba wenye kutafasiri ndoto wanisaidie tafasiri, ningeitoa mapema ila sasa Internet ilifungwa.

Nikajikuta kwenye chumba kimoja , ila chumba kile kilikuwa na hekakeka , tulikua watu yaonekana wa karibu sana ambao binafsi kweli ya Mungu ilikua sehemu ya kwanza sana ,wapo walio kuwa na mitutu ila kwa mda ule niliona haina kitu (namanisha marisasi)

Sasa ikaja kati tuliokua mle ndani ya ya chumba ikaonekana anabadilisha nguo ya kwa kwanza msitili, ikaikataa ,ya pili ,ila ya tatu akaikubali ,ila alivyoivyaa kuna kama kikofia flani hivi juu ya kichwa akakivaa ila mwili wake wote anzia kichwa umefunikwa haoni popote , na kutamka maneno yafuatayo

Nanukuhu ninayo ya kumbukuka

Naondoka ila msipige kelele kama naonodoka nitarudi ,ila ajae atakua mkali kuliko mimi, mwisho

Ikumbukwe mimi pia anzia chumba cha kwanza kwenye ndoto nilikua pale. Note sikumjua sura yake. Ila mwembamba hivi.

Baada ya hapo tukaenda ukumbi mkubwa mrefu hivi ila upo na ka ki chumba kama dining room, pembeni ili ni mrefu.

Yule mtu aliejifunika uso mzima na wanzake wawili alikua pale, ila kakawepo katoto kananilia sana kila kakitaka kwenda kwa wale watu hawataki kukasikiliza ,ila mie kwenye ndoto nikawa kama nakafahamu so ni kaanza lazimisha wakabembeleze, hakuna aliekabembeleza.

Badae nikaona ilo jengo kumbe lilikua na madirisha mafupi sana, mpaka ikafika mwanamke mmoja hivi ingia kwenye eneo lile alipo mmoja asietaka kuonekana na wa watu ingia kwenye ukumbi ule kupitia dirisha la chini , na akaagizwa na Bwana mmoja ,yupo misuli minene akachukue dawa . Hapa nafupisha.

(Huyu ndugu alinipa maelezo makubwa , maana mie mda ule nilikua na libunduki lilefu hivi ila mbele lina mfuniko usio wa kuzungusha ila kama la kuziba pale, akawa ananichecheka namna nashindwa kulifunga ,niliangaika sana, naishia hapa.)

Hapa ndo nikaona kumbe ile eneo kwa mbele lipo na mlango mwingine maana niliona kama watu wamebeba mizigo wakielekekeza jengo lile japo huo mlango si kuona kabla

Watu , wa Mungu hii nimefikiri na kufika hasa uyo mtoto aliekua akilia lakini akitaka kwenda kwa yule mtu amejifunika uso mzima na wanzake wawili hawataki msaidia , na jumla ya maelezo maana yake nini?

Thank, iwe tafsiriri ya kimila, watu wa mungu, nisaidieni kwa hili
 
Kama Netanyahu bado yupo hai, i will never believe in earthly justice
 
Nimesikia mjumbe mmoja anasema hawakua watanzania, waandaa hotuba Mungu anawaona , kwamba Dodoma ,Dar na maeneo mengine kweli ya Mungu yani hawakuwa watanzani , kweli?
 
Walioiba na kuchoma Mali Za watu malipo Yao ni wapi? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Huu ni mwanzo tuu, hatutakubali kuongozwa na muuaji Samia, na mabadiliko ya katiba, tume ya uchaguzi na sheria zake, vyombo vya usalama etc, na lazima mtasema wote mliowateka na kuwaua wako wapi, wakina Lisu na wote mliowafunga lazima waachiwe
 
Nimesikia mjumbe mmoja anasema hawakua watanzania, waandaa hotuba Mungu anawaona , kwamba Dodoma ,Dar na maeneo mengine kweli ya Mungu yani hawakuwa watanzani , kweli?
Sijaposti hii kitu cross check wahuni ,washamba sana
 
Nimesikia mjumbe mmoja anasema hawakua watanzania, waandaa hotuba Mungu anawaona , kwamba Dodoma ,Dar na maeneo mengine kweli ya Mungu yani hawakuwa watanzani , kweli?
Wao wanahaki ya kusema hadharani kwamba hawakuwa watanzania.
Tukijitokeza live kama wao tukisema sio kweli, wote walikuwa watanzania, tutapewa kesi ya kujibu.
 
Back
Top Bottom