Tuambiwe ukweli: Stiglers Gorge inaweza kuwa maafa makubwa kwa taifa badala ya furaha

Tunajenga kwa fedha zetu za ndani.
 
CCM hawajawahi fanya lililo jema kwa Tanzania..Mungu ndio anatuepusha na shari zao tu.
Kwan we Ni shabiki wa chama , pia tunekuwa wendawazimu Sana kuhusudu yanayoongelewa na media za njee kukatisha tamaa kuiboresha sekta yet ya nishati. Africa we are shit
 
Maisha ya wanyama😄😄 acha nicheke Mimi wehu waliowaletea habari ya uharibifu wa mazingira hata kwenye mbuga zao wanajenga mahotel nanmahumba ya starehe ila sisi wanatuambia Ni uharibifu wa mazingira na mlivo wajinga mnaitikia km watoto

Africa Africa Africa
 
Acha kupotosha uma mwalimu nyerere apikuwa na mpango wa kujenga bwawa hili akapigwa vita Sana na mabepari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…