Tuambizane uvaaji kulingana na mazingira husika

Tuambizane uvaaji kulingana na mazingira husika

Principle girl

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
1,311
Reaction score
1,297
Asalaam
Tuambizane uvaaji wa nguo kulingana na mazingira husika kama kwenye sherehe,ofisini,unatoka out na babe,kanisani uvaeje,safarini,safari fupi lets say umeenda shoping ukiwa home uvae vipi ili kuendana na mazingira uliyopo?
Njooni mtiririke wapendwa ili watu wavae kulingana na mazingira.
 
Unaweza kutembelea blog ya 8020 fashion

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Inategemea na kazi yako chief, ss mainjinia tunasemaga "a real engineer wear jeans"

Kwhyo mm ni jeans, shati na mocka au simple za convex, kikazi zaidi,

Kanisani pia naweza vaa kama ya ofisin ila cku nyngine suruali ya kitambaa shati, tai na kiatu cheusi,

Harusi pia naweza piga jeans na shati nkachomekea vizuri, na kiatu kirefu ambcho ntamechisha na koti,

Inshort vazi nalo penda mm ni jeans....juu shati, tshirt, batiki zote zinaenda......
 
mimi ni mpenzi zaid wa magaun!so unatupia gauni kutokana na tukio!
 
Back
Top Bottom