exalioth
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 2,263
- 3,897
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dunga hakuwapo Enzi za U star wa Amiri Jeshi Mkuu wa East Coast Team, King Crazy Gk a.k.a Boccassasister sister - CRazy GK
kick na snare za prodyuza Dunga umo ndani sio mchezo
Daaah labda kama kuna mtu ana mdau RFA atunyonyee na aweke jamvini.Sijui tutaupataje ule original version..ukitafuta unapata remix tu ambao sio mzuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naungana na list yako, nitaongeza Sadie wa R.Kelly na Song for mama Boyz 2 men.
Hata mm wimbo huu, naukuballi Sana, hata mtoa post maandishi yake yametumia mashairi yote ya ZORRO.Banana Zorro - mama ,
Hii nyimbo naipenda sana inanikumbusha wakati Niko mbali na mama zaidi ya miaka 5 sijamtia machoni nilikuwa nasikiliza sana huu wimbo
Asa mbn mama sahv anaimbwa kama mpenzi?Wasanii mbalimbali wamekua wakitoa tungo kuwasifia wazazi wao hasa mama. Hakika upendo wa mama ni wakipekee sana, mama anambeba mtoto miezi 9 anamlea na anavumilia mengi mpaka mtoto anakua mtu mzima.
Mpaka sasa sina kumbukumbu ya wasanii ambao waliwahi kuwasifia au kuwashukuru wazazi wao wakiume, ingawa wanaume wamekua wakitumia muda mwingi kuhangaikia familia ipate chakula, mavazi na malazi ili isihazirike lakini bado thamani ya baba imekua haionekani sana katika mboni za watoto wengi.
Mama ni mshirika ambaye anakua mwalimu kutambaa, kutembea na kuongea ndo maana wasanii wengi wamepata shauku ya kutunga mashairi kuwashukuru mama zao, Mama ni tunu hatuna kumuenzi kizazi na kizazi.
Licha ya kutungwa tungo mbalimbali kumhusu mama lakini haijawahi kuchosha yaan mapokeo yake yamekua makubwa mno.
Mfano wa wasanii hao
1. Christian Bella ft Ommy Dimpoz- Mama
2. Tupac - Dear Mama
3. Harmonize - Mama
4. Banana Zorro - Mama
5. Kayumba - Mama
6.
.
.
10.
Tuambizane hapa wimbo gani wa mama uliwahi kukubamba vilivyo, binafsi wimbo wa Kayumba
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi kuusikia huuBashary-Mama , wengi wameimba kumsifia mama lkn jamaa alikuja tofauti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wimbo gani ameimbwa kama mpenzi?A
Asa mbn mama sahv anaimbwa kama mpenzi?