Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah, Prince Nico na sweet mother.......bonge moja la wimbo!
Unajua wakati mama yangu yuko hai sikuwa naguswa sana na nyimbo zenye ujumbe wa mama lakini toka bi mkubwa afariki tarehe 20/04/2019 dah huo wimbo wa Christian Bella na Ommy Dimpoz kiukweli moyo uwa unaniuma sana na nakuwa natamani wakati huo unapoimbwa niwe na bi mkubwa wangu na mfano hai ni jumamosi tu iliyopita nilikuwa sehemu harusini ukapigwa huo wimbo kiukweli machozi yakawa yanataka kunitoka mbele ya watu nikanyanyuka na kwenda maliwatoni. Nakuombea mama yangu kwa ALLAH akusamehe makosa yako ya siri na ya dhahiri kwani yeye ni mwingi wa kusamehe na twamuomba pia alifanye kaburi lako ni miongoni mwa viwanja ktk bustani ya peponi!Wasanii mbalimbali wamekua wakitoa tungo kuwasifia wazazi wao hasa mama. Hakika upendo wa mama ni wakipekee sana, mama anambeba mtoto miezi 9 anamlea na anavumilia mengi mpaka mtoto anakua mtu mzima.
Mpaka sasa sina kumbukumbu ya wasanii ambao waliwahi kuwasifia au kuwashukuru wazazi wao wakiume, ingawa wanaume wamekua wakitumia muda mwingi kuhangaikia familia ipate chakula, mavazi na malazi ili isihazirike lakini bado thamani ya baba imekua haionekani sana katika mboni za watoto wengi.
Mama ni mshirika ambaye anakua mwalimu kutambaa, kutembea na kuongea ndo maana wasanii wengi wamepata shauku ya kutunga mashairi kuwashukuru mama zao, Mama ni tunu hatuna kumuenzi kizazi na kizazi.
Licha ya kutungwa tungo mbalimbali kumhusu mama lakini haijawahi kuchosha yaan mapokeo yake yamekua makubwa mno.
Mfano wa wasanii hao
1. Christian Bella ft Ommy Dimpoz- Mama
2. Tupac - Dear Mama
3. Harmonize - Mama
4. Banana Zorro - Mama
5. Kayumba - Mama
6.
.
.
10.
Tuambizane hapa wimbo gani wa mama uliwahi kukubamba vilivyo, binafsi wimbo wa Kayumba
Mwanzoni ilikuwa ni Dear Mama wa 2pac then wa Spice girls then wa Boys to men zilikuwa zinaniteka ila kiukweli kwa sasa wa Christian Bella ndio funga kaziWasanii mbalimbali wamekua wakitoa tungo kuwasifia wazazi wao hasa mama. Hakika upendo wa mama ni wakipekee sana, mama anambeba mtoto miezi 9 anamlea na anavumilia mengi mpaka mtoto anakua mtu mzima.
Mpaka sasa sina kumbukumbu ya wasanii ambao waliwahi kuwasifia au kuwashukuru wazazi wao wakiume, ingawa wanaume wamekua wakitumia muda mwingi kuhangaikia familia ipate chakula, mavazi na malazi ili isihazirike lakini bado thamani ya baba imekua haionekani sana katika mboni za watoto wengi.
Mama ni mshirika ambaye anakua mwalimu kutambaa, kutembea na kuongea ndo maana wasanii wengi wamepata shauku ya kutunga mashairi kuwashukuru mama zao, Mama ni tunu hatuna kumuenzi kizazi na kizazi.
Licha ya kutungwa tungo mbalimbali kumhusu mama lakini haijawahi kuchosha yaan mapokeo yake yamekua makubwa mno.
Mfano wa wasanii hao
1. Christian Bella ft Ommy Dimpoz- Mama
2. Tupac - Dear Mama
3. Harmonize - Mama
4. Banana Zorro - Mama
5. Kayumba - Mama
6.
.
.
10.
Tuambizane hapa wimbo gani wa mama uliwahi kukubamba vilivyo, binafsi wimbo wa Kayumba
Yes rasta! One of the best from Sizzla! Luv u mamaTHANK YOU MAMA - Sizzla
Hey mama (ha) Hi mama (ha)
Oh my oh my
Oh mama don't cry
Gonna keep you[?], so I
Thank you mama for the nine months you carried me through
All those pain and sufferin'
No one knows the pressure you bare a just only you
Give you all my love oh yea
Thank you mama for the nine months you carried me through
All those pain and sufferin'
No one knows the struggle you bare a just only you
Mama I would never let you down
I'll never go away, I'll always be around
You know why you do it, such love that you found
I'm always gonna let you wear that crown
Through the roughest of times you maintain your calm
Jah was your only help While shelterin' me from the storm
And when its cold you wrap me in a towel so warm
Oh ma oh ma, I'm so glad I was born
Thank you mama for the nine months you carried me through
All those pain and sufferin'
No one knows the struggle you bare a just only you
Give you all my love oh yea
Oh Thank you mama for the nine months you carried me through
All the pain and sufferin'
No one knows the struggle you bare just only you
This is my word
I'm gonna make you so proud, such good son you have
You are the one who teaches me all the good form the bad
Even when the system keeps pressurin' my dad
You got high hopes, thanks be unto the most high God
Thank you mama for the nine months you carried me through
All them pain and sufferin'
No one knows the struggle you bare a just only you
Give you all my love oh yea
Thank you mama for the nine months you carried me through
No one knows the struggle you bare o da
I'm a big man now that's how things go
Things you do to survive only Jah he knows
Fiercely protecting us while watchin' us grow
You been up even when its on the down low
Work so hard to see us go to school
Blisters on your fingers so they can't take us for fool
I'm here for a purpose, I'm here to rule
Most high Jah Rastafari will see us through
Thank you mama for the nine months you carried me through
All them pain an sufferin'
No one knows the struggle you bare a just only you
Give you all my love oh yea
Thank you mama for the nine months you carried me through
All the pain an sufferin'
No one knows the struggleyou bare just only you
Oh
Now it's my turn to make life, I'm so mature
Now I got my kids and my wife and I'm positively sure
I'm doing fine and still can be so much more
You've prepared me for the future my love you deserve
Keeps doing your thing while others not knowing
But deep inside your heart mama you know where it was going
Can a mother lose her tender care for her child that she's been showin'
Some how your star keeps glowin' ow
Thank you mama for the nine months you carried me through
All them pain an sufferin'
No one knows the struggle you bare a just only you
Give you all my love oh yea
Thank you mama for the nine months you carried me through
Sent using Jamii Forums mobile app