Ncha ya Mkukina
JF-Expert Member
- Dec 17, 2017
- 561
- 694
Alikuwa black,Muhammad hapo kivipi mkuu?
Tunashukuru kwa kutusaidia..(1) za kumkomboa MTU mweusi "" toka kwenye utumwa wa fikira "" ...utumwa unaomfanya ajidharau " nakujiona mtu wa mwisho asiye na thamani duniani "... wakati kiuhalisia " yeye ndiye " muaisisi wa ustaarabu duniani "" ...
(2)jumba/hekalu " la ibada " za watu weusi "" ... ibada ambazo zilikuwa zimeasisiwa na mababu/mabibi walioishi kabla hata ya ujio wa " hizi dini 2 ..ukristo na uislam
Sisi ni chaguo la Mungu tangia kitambo, sema tulivurunda hapo kati.Apa tumeongelewa sisi waafrika mwanzo mwisho daaah
Imeandikwa na wayahudi, Mungu aliandika lini???? Ulimwona wakati alipoandika?-Imeandikwa kwenye kitabu kilichobeba NENO la MUNGU, na aliyeandika alikuwa Nabii wa kweli wa MUNGU.
-Shetani ni mtu yeyeto yule anayekiri kwa kinywa chake kuwa YESU KRSTO siyo MWANA WA MUNGU, yeyote anayesema hivyo ni Shetani na baba yake ni Shetani.
Kuhusu kuhukumu mimi sijahukumu, labda huelewi maana ya neno "hukumu". Mimi ni nani hata nitoe hukumu kwa Shetani? Nilichokifanya mimi ni ku-quote tu maandiko ya kwenye kitabu kitakatifu cha BWANA MUNGU wangu ambacho ni Biblia. Hukumu itatolewa na BWANA YESU KRISTO ile siku atakapokuja tena kwa mara nyingine.
Pamoja mkuu nimekupata,...(1) za kumkomboa MTU mweusi "" toka kwenye utumwa wa fikira "" ...utumwa unaomfanya ajidharau " nakujiona mtu wa mwisho asiye na thamani duniani "... wakati kiuhalisia " yeye ndiye " muaisisi wa ustaarabu duniani "" ...
(2)jumba/hekalu " la ibada " za watu weusi "" ... ibada ambazo zilikuwa zimeasisiwa na mababu/mabibi walioishi kabla hata ya ujio wa " hizi dini 2 ..ukristo na uislam
Biblia kama tuijuavyo leo,sio kitabu kitakatifu cha mungu Bali Cha uwongo wa wayahudi, walioiba maandiko matakatifu ya kweli, na kuyapotosha....Yagashya alisimulia haya katika mfano wa mpanzi-Imeandikwa kwenye kitabu kilichobeba NENO la MUNGU, na aliyeandika alikuwa Nabii wa kweli wa MUNGU.
-Shetani ni mtu yeyeto yule anayekiri kwa kinywa chake kuwa YESU KRSTO siyo MWANA WA MUNGU, yeyote anayesema hivyo ni Shetani na baba yake ni Shetani.
Kuhusu kuhukumu mimi sijahukumu, labda huelewi maana ya neno "hukumu". Mimi ni nani hata nitoe hukumu kwa Shetani? Nilichokifanya mimi ni ku-quote tu maandiko ya kwenye kitabu kitakatifu cha BWANA MUNGU wangu ambacho ni Biblia. Hukumu itatolewa na BWANA YESU KRISTO ile siku atakapokuja tena kwa mara nyingine.
hahaha haha ...safiiiiiiImeandikwa na wayahudi, Mungu aliandika lini???? Ulimwona wakati alipoandika?
mnihesabu "" kuwa mimi " ni mwenzenu " tena mfanye " haraka" mnooo" mniunganishe huko mlipo ""...Alikuwa black,
Tunashukuru kwa kutusaidia
Ni ajabu kubwa, namna watu wameandika vitu vyao, kisha hakimiliki wanamsingizia Munguhahaha haha ...safiiiiii
Tutakupa maelekezo ufike hekaluni hearlymnihesabu "" kuwa mimi " ni mwenzenu " tena mfanye " haraka" mnooo" mniunganishe huko mlipo ""...
Tulipotea kidogo wenzetu watake advantageSisi ni chaguo la Mungu tangia kitambo, sema tulivurunda hapo kati.
Ni hivyo, na Sasa tunarudi, ukweli watausema wenyewe, kwani kuhani nyabinghi kawafinya mapumbu, Mpaka watasema tuTulipotea kidogo wenzetu watake advantage
Ni wapi ukoTutakupa maelekezo ufike hekaluni hearly
Ukombozi wa Mwafrika hauji kwa kuukataa UKRISTO na kusema eti Wazungu wote wakiwamo "Wayahudi" ni maadui zetu. Huyu mwandishi wa huu uzi anataka kuturudisha kule kwenye kuabudu "mapepo" kwa kisingizio cha ukombozi wa Mwafrika. Huo ni upotoshaji na ujinga na ushenzi wa hali ya juu sana. Mimi binafsi siwezi kukubaliana naye hata mara moja sababu KWELI naijua.Huyu kasoma mada kaitafsiri kwa upeo wa udini akati kiukweli mada yahusu mwafrika kujikomboa hapo haijalishi dini yako wala kanda gani unatoka sema mwandishi katumia lugha ya kificho ambapo ukibakia kwenye yale maneno tu bila kufikiri lazima upotee kama ndugu hapo juu
Cha msingi APA ni kujua kwanza kuitumia akili kwanza na haya mengine yatafata kama wachina walivyo base kwenye meditation na Dini zao ndo maana. Wamefika mbali wakati tulikuwa nao sawaKwa wale wanaotaka kujitambua, cha kwanza fahamu kwamba
Watu wa kale walikuwa wa kitaifa, sio ubaguzi wa rangi. Maana watu walitambua mataifa na nchi zao kulingana na wapi waliotoka lakini si lazima kwa rangi.
Tena hakukuwa na mipaka hi Kama tuijuavyo leo, Africa iliungana na bara Asia, wameitenganisha juzi hapa, baada ya kuchimba mfereji wa Suez canal, watu walikuwa wanaingia Ulaya na Asia kwa miguu tu
Zamani watu Waliona tofauti za rangi lakini hawakuunganisha mawazo ya mmoja kuwa bora zaidi kuliko mwingine kama ilivyofanyika leo. Aina kama ya kuangalia Ford Mustang nyeusi na Mustang nyeupe Ford na kupenda rangi lakini kutambua yote ni magari, kuku ni kuku, jogoo jina
Wagiriki wa kale wanaonekana leo kama waasisi wa mawazo ya Ulaya na Magharibi ya mawazo na falsafa ya mapema. Inategemea michakato ya mantiki na ya ubaguzi kushoto.
Utaratibu wa mawazo ya busara unakataza wazo la intuition kama fomu ya pembejeo ambayo ni haki ya michakato na ubunifu michakato. Hii ni upungufu wa sayansi ya kisasa. Maoni ya kimwili ya sayansi ya kisasa hayana hata kutambua pembejeo ya kimapenzi. Wanaamini ubongo hutoa uzushi wote wa kimwili.
Ubongo ni ule ule mmoja, damu ni ileile moja, zaidi sisi tuna viini vya melanin ambavyo wait hawana
Kuna utaratibu wake, kwa sababu za kiusalama, sio kwamba unakuja tu, kiholela....tulishapata matatizo ya shambulio la kudhuruNi wapi uko
nasubiri sana hilo "" nimekuwa na ongea na Fatima "" lakini naona kama vile anajisahau ""..Tutakupa maelekezo ufike hekaluni hearly
Sawa mkuu sema sisi wa mikoani ndo IPO shida apoKuna utaratibu wake, kwa sababu za kiusalama, sio kwamba unakuja tu, kiholela....tulishapata matatizo ya shambulio la kudhuru
Alaaa kumbe ""Kuna utaratibu wake, kwa sababu za kiusalama, sio kwamba unakuja tu, kiholela....tulishapata matatizo ya shambulio la kudhuru
Pepo maana yake ni Roho, Yagashya(Yesu) hakuacha ukiristo, mliutengeneza wenyewe, aliacha Imani, na mambo mengi aliyosema hayakuandikwa yote, ukiristo ni politics za utawala, nyinyi mnaabudu, pepo jeupe tengenezo la wanadamu, na Yagashya aliyaona yote haya na kukemea, aliwajua wayahudi ni kizazi Cha ibilisi, kweli tunayo sisi, pole sana nduguUkombozi wa Mwafrika hauji kwa kuukataa UKRISTO na kusema eti Wazungu wote wakiwamo "Wayahudi" ni maadui zetu. Huyu mwandishi wa huu uzi anataka kuturudisha kule kwenye kuabudu "mapepo" kwa kisingizio cha ukombozi wa Mwafrika. Huo ni upotoshaji na ujinga na ushenzi wa hali ya juu sana. Mimi binafsi siwezi kukubaliana naye hata mara moja sababu KWELI naijua.