Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kauli hizi nizakujibagua na za kuonesha kufelinasemaga kila siku mtu mweusi ndio kila kitu,ukitokea muujiza wa kuweka ukuta baina ya ulaya uarabuni na afrika watu watastaajabu.tatizo tumefunikwa sana,kila siku wanawaza kutumaliza ila mdogo mdogo tutaamka,msichoke tupo nyuma yenu.
kama mizimu hiyo ndio iliyo shidwa kuwalinda hao babuzetu wakawa watumwa namali zao zikachukuliwa itatusaidia nn leo hiyo mizimu ilaniwe kwa kushidwa kuwalinda babuzetu na kutuacha kwenye matatizo paka leo ila kwa wale walio jitambua wameamua kuitwanga talaka mizimu ni upuuziLile dhehebu langu la "JUMBA LA MIZIMU" bado nalifanyia kazi, kiukweli nitaokoa watu wengi sana wasiojua mambo... tutaabudu kulingana na mizimu yetu.... hii itatusaidia kuwa sisi.
Karibu tuuungane
yan watu warudi ktk ibada zilizo feli? za kuabudu miungu dhaifu iliyo sababisha babuzetu kuwa watumwa?Gesteen watu wote wanaotaka kurudi katika ibada asilia waelekezeni
Asanteni
kama mizimu hiyo ndio iliyo shidwa kuwalinda hao babuzetu wakawa watumwa namali zao zikachukuliwa itatusaidia nn leo hiyo mizimu ilaniwe kwa kushidwa kuwalinda babuzetu na kutuacha kwenye matatizo paka leo ila kwa wale walio jitambua wameamua kuitwanga talaka mizimu ni upuuzi
hahah nilidhani yale maji yanatoka Ziwa Victoria yana tiririka kuelekea huko mto nile, kumbe yana toka kule kuja huku kwetu. Bhagosha walimu wetu hawa watatuua.Na inavyosemekana yesu alikuwa mweusi pia kwenye MTO Nile pale alikunywa Yale maji ambayo yanakuja adi ziwa Victoria sasa apo huwezi sikia haya yakisemwa popote
...Yanatoka Ziwa Victoria kwenda Nile...na sio kinyume chake...!![emoji849][emoji849]Na inavyosemekana yesu alikuwa mweusi pia kwenye MTO Nile pale alikunywa Yale maji ambayo yanakuja adi ziwa Victoria sasa apo huwezi sikia haya yakisemwa popote
tunaambiwa katika history idea ya elimu imeanzia bara Afrika akina Aristote na Pythagoras wanaoabudiwa wamejifunza Africa, naam ustaarabu teknolojia mbalimbali kama ufuaji vyuma ugunduzi wa moto..ujenzi mfano mapiramidi ya Misri na Sudan ni mystery mpaka leo, huenda hata haya mambo ya smartphone tungeligundua kitambo sana bila kutawaliwa..ila yote tisa kumi wazungu wametuletea dawa dini ati tuamini katika mizimu yao. Mizimu yao tunawaita watakatifu lakini mizimu yetu eti sisi ni dhambi kuwakumbuka kwa jinsi yoyote,hebu jiulize ndugu mbona hatujawahi kusikia mtakatifu mweusi ama tu wa dhambi sisi kuliko wazungu?Dunia haiko kama unavyoiona, Kuna agenda ya siri sana, na wahanga wakubwa watu, weusi, lazima uamke ili uione picha kubwa...ukifanya hivyo, utajikuta uko vitani mtu mweusi, karibu tuko hapa maaskari wenzio kukufungua macho yako....uamke kutoka msukuleni. Hapa tunakufunulia mambo yaonekanayo ndivyo hivyo, kumbe sivyo ndivyo.
Lengo kuu la uzi huu, ni kukufikisha mahali ndugu msomaji ukajihoji binafsi, na yale yanayoendelea duniani, kukuchochea we kutokubali mambo kwenye sahani
Kwenye dunia iliyojawa ushahidi wa uongo, kutokuwepo ushahidi ndio inakuwa ushahidi, hii hasa pale watawala, wenye mamlaka juu ya vyanzo vya taarifa, wanapokuwa ndio watuhumiwa wenyewe. Ishu ya Michael Jackson, ni mfano mdogo tu, mjadala ni mpana kuliko hapo.
Mada yetu inahoja Za msingi zifuatazo:
1. Mweusi binadamu wa Kwanza
2. Mweusi mwanzilishi wa ustaarabu duniani ikiwa ni pamoja na dini
3. mweupe kwa sababu ya wivu na chuki akaleta Sera ya ubaguzi
4. Kupitia ubaguzi amejaribu na kufanikiwa mno kufuta ya misingi mikuu iliyowekwa na mtu mweusi, kisiasa, kitaaluma, kitamaduni
5. Ustaarabu wa mweupe leo ni mwigo wa ustaarabu mkongwe zaidi wa mweusi kwa kila namna
* Kama una ushahidi kupinga haya tuyasemayo, tuletee hapa tuamke, tuwaamshe mizimu wetu, katika nyakati za hatari watusaidie'
Mara unapojua uko vitani, hiyo ni ngazi ya kwanza, Nasi twataka tukufunde jando mwitu, na unyago wa mizimu'
Tukujaze silaha na mbinu katika vita yako, utakapo amka na kujikomboa mtu mweusi dunia utaikomboa'
NB: The things people refuse are the things they should choose' Bob Marley
And remember:
You can fool all the people some of the time, and some of the people all the time, but you cannot fool all the people all the time. Abraham Lincoln.
Asanteni
View attachment 805894 View attachment 805895 View attachment 805897