Tuamke, tuwaamshe mizimu wetu, katika nyakati za hatari watusaidie

Fatima binti hemedi inamaana qurani imechakachuliwa kwa kutosema rangi halisi ya mtume wetu mohamad (pbuh)?
Nadhani hayo yote tumesha yaelezea, babu take muarabu, shina na asili yake ni waethiopia, wakati wa kuzaliwa Muhammad Rasi ya Arabuni ilikuwa koloni LA waethiopia, waarabu asilia ni weusi, kabisa..mbona ushahidi wote tumewawekea..
 


Lile dhehebu langu la "JUMBA LA MIZIMU" bado nalifanyia kazi, kiukweli nitaokoa watu wengi sana wasiojua mambo... tutaabudu kulingana na mizimu yetu.... hii itatusaidia kuwa sisi.

Karibu tuuungane
 
Anaitwa Daniel

DANIEL Jepsin, AN ARTIST, CIA and Mossad recruitee, KAMA ALIVYOKUWA BIN LADEN, NA ALBAGHDAD KIONGOZI WA ISISIL SASA
izo habari za kuleta dhana zimimepitwa na wakati hakuna facts mna force mambo ya kufikirika kwa kadri ya hisia na mitazamo yenu hasi ya kujibagua kirangi ili mjikute ni bora kuliko watu wa rangi fulani lakini facts zina watupa nje na kuwaacha mkijenga chuki na jazba isiyo na tija ndani ya mioyo yenu na kwa jamii
 
wa mwisho, alionekana kwenye thriller, baada ya hapo, michezo ya kijasusi
Michael wa mwisho halisia huyu Hapa
View attachment 806160
uwezi kuthibitisha jambo kama hilo kwa picha tuu tuletee data za kutosha maswala ya sauti alifiawapi na biological dna zake kinyume na hapo iyo itabaki kuwa ni dhana tena potofu na dhana hiyo inatetewa kwa hoja dhaifu sana
 
Imethihitishwa..
Mwanamke mweusi ana mvuto ki mapenzi kuliko wa kizungu....why!
Tulishafanya makubwa mno, mweusi ndio rangi ya jua, tuna viini vya melanin, dada tusijipodoe, tuache mikorogo, huu weusi, wazungu wanautamani, hawawezi kuwanao, tumepewa na mungu
 
Na asiye yaweza, maji marefu, akacheze ufukweni na watoto wenzie....hapa ni kwenye kina cha ukinani, jukwaa la wakweli
ukweli bila data! na ushahidi yani unachukua picha ya 1984 unalinganisha na picha ya 2005 alafu unasema ni watu tafauti kweli nisawa hiyo?
 
Huyu ndio baba wa wale watoto wazungu....kisa ni ubaguzi wa rangi...ona sasa wana Justin bieber wao, wakamuua tupac wakamchomeka Eminem....lakini hawatuwezi....sisi ni watu wa Mungu, mbegu ya asili
yan mnajibagua wenyewe kwa kuamini dhana badala ya uhalisia yani unajenga hisia za kubaguliwa kabla haujabaguliwa
 
Mimi nakubaliana na wewe maana wadhungu wametudanganya sana, kiasi ambacho ukweli hau exists kwenye mambo yao yote!
Sasa hivi ni heri kuishi na imani yetu na kikubwa ni kuamini your intuition!
Mengine yote huwa yana ji unfold by itself!
mpaka mnadanganywa mizimu ilikuwa wap tujibuni ndio mana ss wengine tumeikataa mizimu kwa sababu ni dhaifu na haina msaada wowote kwa binadamu anaye amini katika kutafta super power
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…