Tuamke, tuwaamshe mizimu wetu, katika nyakati za hatari watusaidie

nasemaga kila siku mtu mweusi ndio kila kitu,ukitokea muujiza wa kuweka ukuta baina ya ulaya uarabuni na afrika watu watastaajabu.tatizo tumefunikwa sana,kila siku wanawaza kutumaliza ila mdogo mdogo tutaamka,msichoke tupo nyuma yenu.
kauli hizi nizakujibagua na za kuonesha kufeli
 
Lile dhehebu langu la "JUMBA LA MIZIMU" bado nalifanyia kazi, kiukweli nitaokoa watu wengi sana wasiojua mambo... tutaabudu kulingana na mizimu yetu.... hii itatusaidia kuwa sisi.

Karibu tuuungane
kama mizimu hiyo ndio iliyo shidwa kuwalinda hao babuzetu wakawa watumwa namali zao zikachukuliwa itatusaidia nn leo hiyo mizimu ilaniwe kwa kushidwa kuwalinda babuzetu na kutuacha kwenye matatizo paka leo ila kwa wale walio jitambua wameamua kuitwanga talaka mizimu ni upuuzi
 

Kuna vitu vingi unatakiwa ujifunze ndo utaelewa kwanini waliiacha......
 
Na inavyosemekana yesu alikuwa mweusi pia kwenye MTO Nile pale alikunywa Yale maji ambayo yanakuja adi ziwa Victoria sasa apo huwezi sikia haya yakisemwa popote
hahah nilidhani yale maji yanatoka Ziwa Victoria yana tiririka kuelekea huko mto nile, kumbe yana toka kule kuja huku kwetu. Bhagosha walimu wetu hawa watatuua.
 
Sijaelewa huu uzi unahusu nini hasa, uanzishwaji wa imani mpya inayohusu kuabudu mizimu?, kumkomboa mwafrika bila kujali rangi yake mana wapo waafrika weupe? au kumkomboa mtu mweusi?. Naomba kieleweshwa kwanza
 
Lakini pia kadiri nilivyofatilia nimegundua kuwa kweli waisrael ni watu wa kipekee sana, wamewezaji kufanya yote hayo? Mbona hakuna taifa jingine lililosubutu kufanya hivyo? Ata mizimu imechemka apo kwa waisrael. Kwa kweli natamani zaidi kumjua huyo Mungu wa Israel kuliko hata hiyo mizimu inayosubiri kuamshwa
 
Na inavyosemekana yesu alikuwa mweusi pia kwenye MTO Nile pale alikunywa Yale maji ambayo yanakuja adi ziwa Victoria sasa apo huwezi sikia haya yakisemwa popote
...Yanatoka Ziwa Victoria kwenda Nile...na sio kinyume chake...!![emoji849][emoji849]
 
tunaambiwa katika history idea ya elimu imeanzia bara Afrika akina Aristote na Pythagoras wanaoabudiwa wamejifunza Africa, naam ustaarabu teknolojia mbalimbali kama ufuaji vyuma ugunduzi wa moto..ujenzi mfano mapiramidi ya Misri na Sudan ni mystery mpaka leo, huenda hata haya mambo ya smartphone tungeligundua kitambo sana bila kutawaliwa..ila yote tisa kumi wazungu wametuletea dawa dini ati tuamini katika mizimu yao. Mizimu yao tunawaita watakatifu lakini mizimu yetu eti sisi ni dhambi kuwakumbuka kwa jinsi yoyote,hebu jiulize ndugu mbona hatujawahi kusikia mtakatifu mweusi ama tu wa dhambi sisi kuliko wazungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…