Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Afrika mashariki lipo soko la kutoshaSoko liko wapi tukilima wote
Kuna msemo ,"Lima unachokula "Soko liko wapi tukilima wote
Una maguni mangapi ya mchele hapo kwako, ambayo yamekosa soko?Na bado mkulima hana soko
Uko sahihi, na ukitaka maisha uone marahisi hakikisha unachokula unakizalisha; hapo lazima hela itulie.Kuna msemo ,"Lima unachokula "
So kama nyama , mayai n.k basi Lima uone kama vitakosa soko
Sawa mkuu
Ni kweli changamoto ni mvua, lakini hata kwa hizi zilizopo ni kujaribu kuzitumia; kwa sababu hakuna mbadala wa chakula.Wewe uko wapi mkuu? Huko ulipo kuna mvua ya kutosha?
Maana huku kwetu hata mvua nayo imekuwa ya mgao. Msimu uliopita watu hawakupata mazao ya kutosha na msimu huu nao, mvua ni za kusuasua!
Kutegemea kilimo cha msimu wa mvua ni janga kwa taifa
Hapa tunatakiwa tubadilike, kuliko kutegemea hela ndio ibadilike iwe chakulaWe consume what we don't produce and we produce what we don't consume.
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Na hakika unga unaokula umetoka shambani kwako?Kilimo nacho Kuna mda ni kama kamari, mwaka mambo yakienda vzr utavuna ila yakikogoma maji utaita mma, mfano mwaka huu mbaazi ilichotufanyia ni majanga nyunyizia sumu lkn mdudu anaendelea kuharibu
Hakika! Ila kuna kipindi 2022 nliwahi nunua unga ila sikurudia tenaNa hakika unga unaokula umetoka shambani kwako?
Kama:-Hakika! Ila kuna kipindi 2022 nliwahi nunua unga ila sikurudia tena
Vingine nanunua maana huu mji hauwezi kuhandle vyote!Kama:-
Jipigie makofi, wewe ni tajiri.
Unga ni wakwako Mchele ni wakwako Nyama ya kuku ni ya kwako Mayai ni ya kwako Mchicha ni wakwako Nyanya ni za kwako Vitunguu ni vya kwako n.k
Vingine nanunua maana huu mji hauwezi kuhandle vyote!