Tuamke, twendeni tukalime

Tuamke, twendeni tukalime

I see!
Ni mahali gani ndani ya nchi yetu wanafanya hicho kilimo, tukajifunze?
Bongo hakuna nayemjua sababu ni system mpya hata Europe ndio kwanza inangia ila Kenya imeingia karibuni
Sema online unaweza kujifunza zaidi
Kupitia mwanzilishi Ernst Gotsch
Facebook group - syntropic farmers
Course: syntropia.com
 
Wewe uko wapi mkuu? Huko ulipo kuna mvua ya kutosha?
Maana huku kwetu hata mvua nayo imekuwa ya mgao. Msimu uliopita watu hawakupata mazao ya kutosha na msimu huu nao, mvua ni za kusuasua!
Kutegemea kilimo cha msimu wa mvua ni janga kwa taifa
Mazao hayahitaji mvua, huhitaji maji.... Rais Ruto wa Kenya
 
Tunahitaji watu wachache wanaofanya middle to large scale farming,kila mtu akienda kulima na kilimo chenyewe cha kutegemea mvua hichi hatuwezi solve tatizo.
 
Tunahitaji watu wachache wanaofanya middle to large scale farming,kila mtu akienda kulima na kilimo chenyewe cha kutegemea mvua hichi hatuwezi solve tatizo.
Tatizo wenye mtaji hawako tayari kulima, wanaona bora waagize vitu china waje wauze kwa tofauti ya bei (uchuuzi)
 
Back
Top Bottom