De Capri Don
JF-Expert Member
- Sep 13, 2023
- 481
- 947
Bongo hakuna nayemjua sababu ni system mpya hata Europe ndio kwanza inangia ila Kenya imeingia karibuniI see!
Ni mahali gani ndani ya nchi yetu wanafanya hicho kilimo, tukajifunze?
Mazao hayahitaji mvua, huhitaji maji.... Rais Ruto wa KenyaWewe uko wapi mkuu? Huko ulipo kuna mvua ya kutosha?
Maana huku kwetu hata mvua nayo imekuwa ya mgao. Msimu uliopita watu hawakupata mazao ya kutosha na msimu huu nao, mvua ni za kusuasua!
Kutegemea kilimo cha msimu wa mvua ni janga kwa taifa
Mtaji wa kilimo cha maharageHemu tupe haya madini mkuu, kivipi yani?
Mazao hayahitaji mvua, huhitaji maji.... Rais Ruto wa Kenya
Mtaji wa kilimo cha maharage
Kukodi 50,000
Kulima 50,000
palizi nguvu 40,000
Mbolea 70,000
Maharage debe 1.5=90000
Kuvuna nguvu zako
Tatizo wenye mtaji hawako tayari kulima, wanaona bora waagize vitu china waje wauze kwa tofauti ya bei (uchuuzi)Tunahitaji watu wachache wanaofanya middle to large scale farming,kila mtu akienda kulima na kilimo chenyewe cha kutegemea mvua hichi hatuwezi solve tatizo.
Only mara mojaUnalima mara moja au mbili
Only mara moja