Ndugu wanabodi hapa chini nimeweka video mbili fupi sana za hotuba za marais wetu wapendwa wawili wa nyakati tofauti ambapo ndani ya hotuba hizo kuna jambo kubwa la kujifunza juu ya busara ya uongozi.
Hotuba hizi mbili ni darasa zuri sana la uongozi.Tukizingatia kwa vitendo kinachosemwa humo tunaweza kupiga hatua moja muhimu mbele kama Taifa.
Ni muhimu kila mtu kuangalia hotuba hizi mbili na kutengeneza muunganisho wake kisha kutafakari kama siyo kuchukua hatua.
Ambae haitakii mema nchi yetu ni CCM ambao wanapata kiti cha urais wa Tanzania kisha wanakuja kwa uma kukiri waziwazi kuwa kiti hicho ni kikubwa sana kwao,ni janga kwao na hawakiwezi๐๐๐
Na cha kushangaza zaidi ni kwamba wanang'ang'ania kiti ambacho ni janga kwao na hawakiwezi badala ya kung'atuka mara moja kupisha wanaokiweza kiti hicho.