mahirtwahir JF-Expert Member Joined Jan 12, 2013 Posts 613 Reaction score 313 Sep 11, 2019 #1 Jeee kwa sheria hio ama nyengine ya Utumishi mtu kutumia muda wake nje ya kazi (mda wa ziada) pia anatakiwa kuomba ruhusa na asipoomba ruhusa na akasoma kwa kujilipia takua hana haki ya kufanyiwa mabadiliko ya mshahara ama kubadilishwa kada?
Jeee kwa sheria hio ama nyengine ya Utumishi mtu kutumia muda wake nje ya kazi (mda wa ziada) pia anatakiwa kuomba ruhusa na asipoomba ruhusa na akasoma kwa kujilipia takua hana haki ya kufanyiwa mabadiliko ya mshahara ama kubadilishwa kada?
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,203 Reaction score 37,906 Sep 11, 2019 #2 Ngoja waje wanasheria na Watumishi