mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 613
- 313
Jeee kwa sheria hio ama nyengine ya Utumishi mtu kutumia muda wake nje ya kazi (mda wa ziada) pia anatakiwa kuomba ruhusa na asipoomba ruhusa na akasoma kwa kujilipia takua hana haki ya kufanyiwa mabadiliko ya mshahara ama kubadilishwa kada?