Katika nchi yetu Viongozi wamekuwa wakianzisha miradi ya kujikwamua kimaendeleo kama taifa lakini je kwanini hiyo miradi hatuoni ufanisi wake badala yake baada ya muda Fulani miradi hiyo inakufa na kupotea kabisa
Baadhi ya miradi hiyo ni pamoja na;_
1,Big Results Now BRN)_2013
2, MKURABITA 2004
3; MKUKUTA
Endelezeni na mingine
Kwakuwa Kila rais anakuja na maono yake ya Tanzania yake kichwanii🤔🤔🤔. Km taifa dira ya nchi baada ya miaka 50 ijayo ni kuendelea kupambania CCM kubaki madarakan na c kuiona Tanzania ikiwa wap kiuchumi🤔