Dong Jin
JF-Expert Member
- Jun 4, 2018
- 968
- 2,034
Kuna tuhuma imesambaa sana kwenye mitandao ya kijamii kuwa azam tv kupitia kipindi chao cha Toonami walirusha katuni yenye maudhui ya hovyo.
Azam TV wametoa utetezi kuwa sio ukweli, na ni uzushi ili kuiharibia kwa jamii
Sasa kama tuhuma zimepelekwa ka azam TV, kuchunguza kafanya azam TV na majibu ya tuhuma hizo yametolewa na azam TV, sisi tutaamini vipi kama ni uongo? Kwanini TCRA wasifanye uchunguzi na kutupa majibu?
NB: Dunia imeharibika sana siku hizi. Tuwe makini na michezo tunayowaachia watoto wetu washinde wanaiangalia siku nzima! Tutakuja kujuta wakati muda umeenda.
🤝🤝🤝