Hata kama hii tuhuma ni ya uongo lakini tujitahidi kuwa makini na michezo ambayo watoto wetu wamekuwa wapenzi wa kuifuatilia na kuiga baadhi ya mambo ya humo.... Ushoga is a real threat to our families kwa sasa kuliko janga jingine loloteKuna watu wanawachafua kwa makusudi. Hii imehaririwa makusudi kwa lengo la kuichafua Azam media kwa makusudi.