Druggist
JF-Expert Member
- Nov 10, 2010
- 439
- 528
Waheshimiwa itifaki imezingatiwa.Baada ya Kushughulika na Kilimo kwa miaka kadhaa,iliyoambatana na hasara Hapa na pale,hebu tuanze kutafakari Mazao yetu jinsi ya kuyaongezea thamani kwa kuzingatia haya:-
1)Ni mazao yapi yanazalishwa kwa wingi,kwa gharama nafuu (Kuna economies of scale katika production) ya kufocus nayo?
2)Mazao hayo yakiongezewa thamani yanaweza kuwa exported au soko lake lipo la Kutosha ?
3) Gharama za uzalishaji zinaweza kutufanya kuwa competitive soko ni? i.e.tuna competitive advantage?--Nishati,skilled labour force,packaging materials nk
4)Tuna sera na sheria Ambazo ni rafiki kwa Viwanda vya Kusindika mazao ya Kilimo (agrobased factories)
Karibuni!