Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Kama umewahi kutembelea maeneo ya biashara mfano Kariakoo n.k utagundua kila mahali ni kelele.
Kila mtu anatangazo lake na wakati mwingine kusababisha noise pollution kwa watu wengine.
Sasa kwanini tusianzishe kodi itakayotozwa kwa hawa wanaosababisha makelele kwenye maeneo hayo?
Ni wakati sasa kubalance mambo hayo. Embu jaribu kufikiri kila mtu akiwa na tangazo eneo la biashara hivi tutaweza kuelewa yupi ni yupi.
Eneo kama la Kariakoo watu wengi tumesha lijua tunajua ni maduka gani wanauza nguo na yepi wanauza simu. Kama ni hivyo haina haja ya kupiga makelele kama mnadani.
Tunahitaji kudhibiti kelele za matangazo yasioyalizima kwenye maeneo ya biashara.
Wote wenye sauti kubwa kwenye maeneo ya biashara mjini walipie kodi ya noise pollution.
Wale ambao hawaoni ulazima wa kulipia watakaa kimya.
Nawasilisha.