Shalom!
Wapendwa tunapoelekea, kukamilisha kipindi Cha Kwaresma, nawasihi wanamaombi tuingie KATIKA Maombi Maombi Maalum ya kuitafuta ukweli Juu ya Mpendwa wetu Ben Saanane! Mpaka Sasa haijulikani yupo wapi, alikufa au yupo hai!
Watoto wake, mke wake wazazi wake wemepitia Magumu sana! Hivo Kwa Azori Gwandu na Diwani wa Kigoma!
Pia tutumie Maombi haya kumuomba Mungu awafunue waliodhamiria kumuua Lissu Ili Utukufu wa Mungu uzidi kudhihirika!
Kimsingi maombi haya yatawahusu wote walioteswa ktk kipindi Cha Miaka 6 iliyopita! Najua tuliomba sana na mengi yamejibiwa ila kuna Kila dalili za Shetani kuzidi kuaibika!
Hebu tuamke!