Amina Mpendwa Mimi naanza na kuimba Zaburi 35 Usiku huu!Amina nakubaliana na huu uzi nitaupandisha kila siku humu mpaka haki ya wapendwa wetu ipatikane.
aliyemwaga damu ya ben saanane, damu ilie na ipewe haki yake.Shalom!
Wapendwa tunapoelekea,kukamilisha kipindi Cha Kwaresma,nawasihi wanamaombi tuingie KATIKA Maombi Maombi Maalum ya kuitafuta ukweli Juu ya Mpendwa wetu Ben Saanane!
Mpaka Sasa haijulikani yupo wapi,alikufa au yupo hai!.
Watoto wake,mke wake wazazi wake wemepitia Magumu sana!
Hivo Kwa Azori Gwandu na Diwani wa Kigoma!
Pia tutumie Maombi haya kumuomba Mungu awafunue waliodhamiria kumuua Lissu Ili Utukufu wa Mungu uzidi.kudhihirikaka!
Kimsingi maombi haya yatawahusu wote walioteswa ktk kipindi Cha Miaka 6 iliyopita!
Najua tuliomba sana na mengi yamejibiwa ila kuna Kila dalili za Shetani kuzidi kuaibika!
hebu tuamke!
Surealiyemwaga damu ya ben saanane, damu ilie na ipewe haki yake.
Tusiwasahau:Pia tusisahau kuomba kwa ajili ya binti Acquilina na Mawazo waliouwawa pasi na sababu na wauwaji wamefichwa
Hatar sana !!Naunga mkono hoja,nikiifikiria familia ya Ben Saanane lini watapata closure nini kilimtokea mpendwa wao,naushia kulia na kulia huku sio dalili ya uoga, ni kulia kwa hasira kubwa sana, tuna tiss inayoendeleza mateso kwa raia na sio kulinda nchi, nchi imegeuzwa ni njia ya mkato ya human trafficking syndicates, drug cartels wanatamba mitaani, money laundering (Pakistan scandal )etc etc, tiss sasa wanafanya kazi za traffic police 🚔 officers!it's craze