Tuanze na hoja ya kuondoa kinga kwa mihimili yote

Kwa mfumo uliopo in ngumu kupata katiba mpya na bora kabisa kama hatutakuwa na ajenda ya kwanza kupeleka mswada wa dharula bungeni kuondoa vipengele vya KINGA.

KINGA zikiondolewa hata hii katiba iliyopo itaheshimika.
Sheria tuna tungiwa sisi masikini lakini wao wanaishi kwenye sayari yao.
 
Mtu kama Ndugai amezidi kuwehuka kwasababu tu mwendazake amemtungia sheria ya kumpa kinga dhidi ya jinai zote anazofanya akiwa spika.
 
Huo mswada unaupeleka kwenye lile bunge feki lililojaa kijani, na hata wale wengine wasiovaa kijani nao ni kijani tu vichwani, huo muswada hautapita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…