Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutaja jina halisi humu jf ni kosa kubwa...kuna watu ukitaja jina tu watakufaham...tukifanyaa hivo hakutakuwa na maana ya kuwa na fake I'd tena
got you.
Hahaa safi ..umeonyesha uungwanaSawa kaka, nimekosea nisamee bure
Wazo nzuriHumu JF hasa members wa MMU kumekuwa na members wa kudumu, ambao ID zao ni maarufu sana.
Tunajuana humu JF hasa hasa. huko nje hapana na ndio maana humu watu huongea free kabisa tofauti na social network zingine.
Na kwavile kumekuwa na wimbi kubwa la watu ambao wanapenda kutengeneza relation humu JF, either relationship or friendship
Basi mimi natoa wazo tuanze kuwekana vikaangoni means tuwe tunachagua ID moja moja tunaiweka kikaangoni na tumuulize maswali muhusika bila kujua anaitwa nan na bila kujua sura yake, ILI KWAMBA KAMA KUNA MTU ATAPENDEZWA NAE kwa friendship or relationship aweze kuwa kachagua kwa kuona kuwa wanaendana japo hamjui jina kamili na sura yake tuuu.
Mimi napenda sana kufahamiana na watu mbali mbali japo kuwa mm kwa hili halita nigusa sana kwani nina umri mdogo sana, wengi wenu humu natakiwa kuwaamkia shikamoo kaka au dada na pia nimesoma chuo tayar, kuja kusoma tena labda siku nina familia kabisa.
Mimi natumain watu hawata danganya sifa zao, kama watapenda kujuana na GREAT THINKER wenzao.
Pia kutakuwa na limitation ya kujibu maswali kulingana na muhisika atakavo taka kujibu.
Mimi napendezwa na hii mada kwan kumekuwa na wimbi kubwa la watu ambao wanaingia kwenye mahusiano bila kujua tabia za wenza wao, kuwa mwenzangu anapenda kufanya nn mala kwa mala au hapendi kufanya nn ni swala la kuulizana tu japo ni ngumu kuhoji hayo mwanzoni na huku umempenda mtu tayar,
Mfano nimeshangaa kuna binti kadai anapenda urafik na wanaume but na kuna wanaume wengi wakadai hawapend kuona wapenz wao wanaurafik na wanaume wengine na anaweza kuwagombanisha, so nikutokusomana tabia tuu.
Kama unaunga mkono thread hii tupia like na quote yako.
By Suriya ki P humu JF
UmekomoaMimi naitwa violla,Nina miaka 37, naishi Mbezi beach,,napenda kula vizuri, kazi ni afsa.....,;sina watoto Nina mume
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 na wewe bathi
afsa kilimo, mifugo, Mtendaji wa kata au kijiji. Fafanua kidogo tuanzie hapo ViolaMimi naitwa violla,Nina miaka 37, naishi Mbezi beach,,napenda kula vizuri, kazi ni afsa.....,;sina watoto Nina mume
Jamani mbona umenichagulia Hao,,kwann isiwe afsa usalama, 😂😂😂afsa kilimo, mifugo, Mtendaji wa kata au kijiji. Fafanua kidogo tuanzie hapo Viola
Kujuana ili!!?....acha utoto dogo!!
Madogo mnazingia ety????Acha ujinga kwahiyo unataka kilamtu akwambie mimi nafahamiana na yule wewe fara nini kama hujuani na watu ni wewe
Sent using Jamii Forums mobile app