Abdull Kazi
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 337
- 296
Wandugu nimekaa na kutafakari juu ya kifo cha dk Mvungi,ikiwa ni pamoja na kupitia kesi mbali mbali alizowahi kusimamia kwa ajili ya kutetea wanyonge,tafakari yangu ienifikisha katika kesi ya jinai namba 276/1995 ambayo iikuwa ikimuhusu juma Kanyoni huyu alibambimkiwa kesi na Pacid Chaka mwaka 1993 baada ya kudhulumiwa 936,000 kwa wakati huo.
Kanyoni alihangaika na kesi hiyo ya kubambikiwa mpaka mwaka 1995 alipohukumiwa kifungo cha miaka 30 jela,licha ya kuwa jela huyu bwana alipambana katika kudai haki yake na hatimae mahakama kuu ya rufaa ikamuona hana hatia na mwaka 2000 akaachiwa huru.
Baada ya kuachiwa huru akaendelea na kudai haki yake aliyodhulumiwa na chaka wakati huo akiwa occid wilayani Tabora na baadae Rpc wa mikoa mbali mbali katika kudai haki kanyoni alikuwa anatetewa na dk Mvungi hadi mwaka 2008 ilipotoka hukumu na Chaka kutakiwa kulipa fidia ya fedha aliyodhulumu mwaka 1993 ambayo thamani yake kwa mwaka kesibiliyoamuliwa ilkuwa ni 80,936,000 ambayo Rpc mstaafu Chaka alitakiwa alipe na kwa kuwa hakuwa na uwezo wa kulipa baada ya serikali kumkana kutokana na tendo la kudhulumu na kumsingizia kesi ya matumizi ya silaha Kanyoni kuonekana ni ya binafsi zaidi kwa Chaka.
Kutokan na uamuzi huo mahakama ikaamuru mali za Chaka ziuzwe na huyu bwana baada ya kupata taarifa za mali zake kuuzwa akaamua kuwahi mwenyewe kuzipiga bei na kubakiwa na nyumba moja huko Kiwalani ambayo madalali wa mahakama walitaka kuuza na walishaweka tangazo la mnada.
Haya yote yalifanyika Dk Mvungi akiwa anamuwakilisha Kanyoni,baada ya nyumba ya Chaka kutaka kuuzwa Chaka aliweka pingamizi nyumba yake isiuzwe na kesi i aendelea mahakama kuu itasikilizwa mwezi ujao.
Wakati Chaka akiweka Pingamizi ghafla Dk Mvungi alimshauri mteja wake waachane na hiyo kesi sababu mpaka sasa haijulikani na mteja wake alipokataa Dk Mvungi alijitoa ktk kesi hiyo na sasa kesi hiyo ipo chini ya wakili Mkisi na itatajwa tena mwezi ujao kusikiliza.
Sababu ya kwanini nyumba ya Placid Chaka isiuzwe Mvungi mtu muhimu katika kesi hii kutokana na alivyoweza kuisimamia tokea mwanzo mpaka hukumu ikatoka sasa hayupo tena je kesi za namna hii haziwezi kuwa na uhusiano na kifo chake?