Tuanzie hapa kwa ishu ya Dk Mvungi

Tuanzie hapa kwa ishu ya Dk Mvungi

Abdull Kazi

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Posts
337
Reaction score
296
Wandugu nimekaa na kutafakari juu ya kifo cha dk Mvungi,ikiwa ni pamoja na kupitia kesi mbali mbali alizowahi kusimamia kwa ajili ya kutetea wanyonge,tafakari yangu ienifikisha katika kesi ya jinai namba 276/1995 ambayo iikuwa ikimuhusu juma Kanyoni huyu alibambimkiwa kesi na Pacid Chaka mwaka 1993 baada ya kudhulumiwa 936,000 kwa wakati huo.

Kanyoni alihangaika na kesi hiyo ya kubambikiwa mpaka mwaka 1995 alipohukumiwa kifungo cha miaka 30 jela,licha ya kuwa jela huyu bwana alipambana katika kudai haki yake na hatimae mahakama kuu ya rufaa ikamuona hana hatia na mwaka 2000 akaachiwa huru.

Baada ya kuachiwa huru akaendelea na kudai haki yake aliyodhulumiwa na chaka wakati huo akiwa occid wilayani Tabora na baadae Rpc wa mikoa mbali mbali katika kudai haki kanyoni alikuwa anatetewa na dk Mvungi hadi mwaka 2008 ilipotoka hukumu na Chaka kutakiwa kulipa fidia ya fedha aliyodhulumu mwaka 1993 ambayo thamani yake kwa mwaka kesibiliyoamuliwa ilkuwa ni 80,936,000 ambayo Rpc mstaafu Chaka alitakiwa alipe na kwa kuwa hakuwa na uwezo wa kulipa baada ya serikali kumkana kutokana na tendo la kudhulumu na kumsingizia kesi ya matumizi ya silaha Kanyoni kuonekana ni ya binafsi zaidi kwa Chaka.

Kutokan na uamuzi huo mahakama ikaamuru mali za Chaka ziuzwe na huyu bwana baada ya kupata taarifa za mali zake kuuzwa akaamua kuwahi mwenyewe kuzipiga bei na kubakiwa na nyumba moja huko Kiwalani ambayo madalali wa mahakama walitaka kuuza na walishaweka tangazo la mnada.

Haya yote yalifanyika Dk Mvungi akiwa anamuwakilisha Kanyoni,baada ya nyumba ya Chaka kutaka kuuzwa Chaka aliweka pingamizi nyumba yake isiuzwe na kesi i aendelea mahakama kuu itasikilizwa mwezi ujao.

Wakati Chaka akiweka Pingamizi ghafla Dk Mvungi alimshauri mteja wake waachane na hiyo kesi sababu mpaka sasa haijulikani na mteja wake alipokataa Dk Mvungi alijitoa ktk kesi hiyo na sasa kesi hiyo ipo chini ya wakili Mkisi na itatajwa tena mwezi ujao kusikiliza.

Sababu ya kwanini nyumba ya Placid Chaka isiuzwe Mvungi mtu muhimu katika kesi hii kutokana na alivyoweza kuisimamia tokea mwanzo mpaka hukumu ikatoka sasa hayupo tena je kesi za namna hii haziwezi kuwa na uhusiano na kifo chake?
 
Hii kesi ndio ilikuwa kwenye laptop na nyaraka zake zilikuwa zinahitajika sio???!!!!!!
 
wakili kujtoa katika kesi ni jambo la kawaia
kama ni nyaraka muhimu za hiyo kesi zitakuwa mahakamani na sio katika laptop ya mvungi.
labda application ambazo mteja anakuwa na copi zake lakini attachments zinakuwa mahakamani.
Huyu bwana hatuwezi kumhusisha na kifo cha Mvungi kwani walishamalizana na Mvungi sio jaji wa hiyo kesi.
Kama ni nyaraka muhimu zitahusu misimamo yako ya kudai serikali tatu,tuanzie hapo....over
 
Umetumwa kupima upepo? Kwa hiyo mnataka kutuaminisha huu uongo kuhusu kifo cha Dr Mvungi? Ccm, damu za watu wasio na hatia zitaendelea kuwatafuna tu!
 
Ni vema ungewasiliana na Mwigulu na Msangi kabla haujatuletea huu uharo wako hapa!
 
Kesi za namna hii zinaweza ku-motivate mauaji lakini suala la Mvungi kujitoa linainyima kesi hii kuwa sababu ya kifo chake. Endapo Mvungi angekuwa bado ni wakili na kwamba ndie aliyekuwa anataka kuhakikisha haki inachukua mkondo wake basi huyo Bwana Chaka angewekwa kwenye watch-list(sio mtuhumiwa).

Kwa upande mwingine, labda huyu Juma Kanyoni ndie huenda angepaswa kuwa kwenye watch-list lakini mazingira ya kesi ilivyoenda na tukio la mauaji basi Juma angekuwa suspect endapo tu aliyeuawa ni bwana Chaka na sio Dr. Mvungi. Kanyoni na Mvungi wamekuwa pamoja kwenye kesi husika kwa karibu miaka 30; kwa mtu yeyote(upande wa juma) angeona ni jambo la kawaida kwa Mvungi kujitoa kwani wameishughulikia kwa muda mrefu mno to the point of boring!

So, am certain Kanyoni hawezi kumuona Mvungi kama adui yake lakini Chaka hapo kabla(kabla Mvungi hajajitoa) angeweza kumuona Dr. Mvungi ni adui kiasi cha kushawishika kufanya lolote dhidi yake! On the other hand, hadi sasa Kanyoni anaweza kumuona Chaka ni adui wake mkubwa duniani; so ikitokea leo Chaka anauawa, Juma Kanyoni anatakiwa kuwa kwenye watch-list! Lakini uzuri wa yote, makachero wetu wala hawana muda wa kuchimba mbali kote huko.....wala hafahamu kwamba watu huwa wanaishi na visasi vyao for decades huku wakitafuta just a chance waweze ku-revenge! Kesi za watu aina ya Mvungi si kesi zinazotakiwa ku-conclude kwamba ni majambazi, coz' watu aina ya Mvungi huwa wana-deal na interests za watu.....interests ambazo wakati mwingine zinavuruga moja kwa moja maisha ya mtu negatively!
 
Haya wahi lumumba kachukuwe buku 7 zako...
 
wakili kujtoa katika kesi ni jambo la kawaia
kama ni nyaraka muhimu za hiyo kesi zitakuwa mahakamani na sio katika laptop ya mvungi.
labda application ambazo mteja anakuwa na copi zake lakini attachments zinakuwa mahakamani.
Huyu bwana hatuwezi kumhusisha na kifo cha Mvungi kwani walishamalizana na Mvungi sio jaji wa hiyo kesi.
Kama ni nyaraka muhimu zitahusu misimamo yako ya kudai serikali tatu,tuanzie hapo....over
Nakubaliana na wewe mia kwa mia kwamba hainonekani ni namna gani wahusika wa hii kesi wanavyoweza kuhusika na mauaji ya Dr. Mvungi! Endapo aliyeuawa angekuwa ni Chaka, basi hapo labda JUma angekuwa kwenye watch-list! Lakini pamoja na yote hayo, Abdull Kazi ame-conclude vizuri sana, anasema:" je kesi za namna hii haziwezi kuwa na uhusiano na kifo chake?" Hapo ndipo palipo na hoja ya msingi ingawaje kama kawaida wana-JF wameanza kumshambulia!

Dr. Mvungi ni wakili wa muda mrefu sana, kwahiyo mtu kama huyu anapouawa hutakiwi kutoa conclusion ya hapo kwa hapo; kwamba ameuawa na majambazi, au wapinga katiba!!!!! Mtu kama Mvungi anapouawa unatakiwa pia kuchimba zaidi ya hapo kama alivyofanya Abdull Kazi! Tujiulize, tangu akiwa wakili hadi anakufa, Mvungi ameingilia maslahi ya watu wangapi? Si ajabu wapo ambao walikuwa ni matajiri wa kutupwa lakini baadae wakawa masikini wa kutupwa baada ya kushindwa kesi zilizosimamiwa na Dr. Mvungi! Watu kama hao daima watamuona Dr. Mvungi ni adui yao! Take an example of two brothers X and Y ambao walikuwa wanapendana sana. Kisha ikaja kutokea kwamba (say) Mr. Y amekuw charged na murder case; ambayo MR Z ndie aliyeuawa huku Dr Mvungi akiwa ndie wakili upande wa Z! Pamoja na yote hayo, X anaamini kwa 100% kwamba kaka yake hana hatia. Lakini Dr. Mvungi akiwa kama wakili anatakiwa kusimamia haki ya mteja wake na kutokana na umahiri wake, Mr. Y anapatikana na hatia na kuhukumiwa kifo! Katika mazingira kama hayo, raia wanachoamini ni wakili ndie aliyesababisha yote hayo, hivyo lazima Mr. X atamuona Dr. Mvungi kama adui yake mkubwa kwa kumsukumia kaka ake adhabu ya kifo!! Huyu X alikuwa anamuona Dr. Mvungi jinsi alivyokuwa anamsakama kaka ake kwa maswali magumu na ya mtego pamoja na vile alivyokuwa anamsakama wakili wao kiasi cha kuonekana Dr. Mvungi alichotaka ni kuhakikisha Y anaingia majini (hapa raia hawezi kukumbuka kwamba alichokuwa anafanya Mvungi ni kutekeleza kazi yake)!!

Hapo juu ni mifano tu ya watu aina ya Mvungi!! So, inakuwa ni kosa la kiufundi hususani kwa upande wa jeshi la polisi ku-conclude kwamba ameuawa na majambazi!! What, if behind huo ujambazi kuna master mind ambae alipanga tukio lionekane kwamba ni ujambazi lakini kumbe ni undercover operation? Mbaya zaidi, unaweza kukuta kwamba hata kama ni undercover operation, weneyewe hawafahamu kwamba walikuwa wanatumika!
 
Last edited by a moderator:
nadhani kama ni kususianisha na kesi basi Dr ameshiriki kesi nyingi nzito kuliko hii uliyoshusha hapa
 
Umetumwa kupima upepo? Kwa hiyo mnataka kutuaminisha huu uongo kuhusu kifo cha Dr Mvungi? Ccm, damu za watu wasio na hatia zitaendelea kuwatafuna tu!

wakati mwingine inaqezekana ni nia ya kutuhamisha kwenye kuzama sana
 
siyo kweli mkuu Dr kauwawa na wenye nchi na dhambi itawatafuna milele ma ccm. RIP D.R. MVUNGI.
 
Abdull Kazi, koma kuwadharau watanzania kiasi hicho! Acha kutuondoa kwenye mstari wa ukweli wewe!

Mungu, malaika pamoja na wenye nia njema na ustawi wa taifa la Tanzania tunaamini ukweli mmoja tu ya kuwa:- Dr. Mvungi kauwawa na Wapinga Serikali Tatu na aibu yao ipo njiani!
 
Abdull Kazi, koma kuwadharau watanzania kiasi hicho! Acha kutuondoa kwenye mstari wa ukweli wewe!

Mungu, malaika pamoja na wenye nia njema na ustawi wa taifa la Tanzania tunaamini ukweli mmoja tu ya kuwa:- Dr. Mvungi kauwawa na Wapinga Serikali Tatu na aibu yao ipo njiani!

Ushahidi tafadhali!
Maneno kama haya ukijulikana unaweza kwenda chezea mikojo segerea!
Chunga kijana!
Someone is watching you! !
 
Ushahidi tafadhali!
Maneno kama haya ukijulikana unaweza kwenda chezea mikojo segerea!
Chunga kijana!
Someone is watching you! !
Why intimidating others in this forum?you are interfering with person's liberty and freedom of speech!!!!!!!!!!!Hili ni jukwaa huru ambalo watu wanathubutu kuongea kwa uwazi,si lazima uwasikilize au kuwaamini wasemacho,unaweza kuwapuuza na kukaa kimya badala ya kuwaogofya!!
 
msimamo thabiti kuhusu serikali tatu!!!!!!!!!!mwambie kova awaachie wanywa gongo wa watu,hawana hatia, maana kama ni wao, laptop iko wapi?kama ni wao it is simple to track other stolen docs and the laptop!where are the docs and a Laptop?
 
siyo kweli mkuu Dr kauwawa na wenye nchi na dhambi itawatafuna milele ma ccm. RIP D.R. MVUNGI.

Hivi bily maccm wamuue Dr mvungi kwani chama ndo ina kauli ya mwisho huo ni ufinyu wa kufikiri xaxa wewe utabaki hivyo wenzenu wanafanya yao
 
Haya wahi lumumba kachukuwe buku 7 zako...
Kwa baati mbaa tumekuwa tunashindw kujiheshimu nakuhshimu mawazo yetu, tunafkiri kukimbilia kutoa lugha ya Kashfa ni suluhiho la mjadala nimeyweka mawaz yangu iazima mt akbaliane nayo kama ambayo mimisikbliani na badhi a mawazo ya watu wengine ila ninayaheshimu na kwa kufanya hivyo ndiyo maana skufcha jinalanu haisi katika kujiungana jukwaa hili ili takapofanya jamo lislo jema ninyooshewe kidole na wale nitakona wamefanya lisilo jema niwanyooshee kidole wazi wazi a mwiho si kila anayeingi humu anategemeabuku 7 za Lumumba kama unavyosema
 
Back
Top Bottom