tuanzie hapa wale wa BAC kiroho safi

QUALIFIED

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2012
Posts
773
Reaction score
118
wakuu habari,
natafuta websites ambazo ntaweza pata notes za masomo yafuatayo
1.DEVELOPMENT STUDIES
2.ACCOUNTS
3.BUSINESS LAW
kwa yeyote mwenye msaada weka hapa ntaupitia kwa roho safi kabisa

mimi ni mwaka wa kwanza

natanguliza shukhran
 
dogo msikilize lecture wako na udhuri tutorial class zote
then hayo mambo ya mtandao utaongezea
 
wakuu habari,
natafuta websites ambazo ntaweza pata notes za masomo yafuatayo
1.DEVELOPMENT STUDIES
2.ACCOUNTS
3.BUSINESS LAW
kwa yeyote mwenye msaada weka hapa ntaupitia kwa roho safi kabisa

mimi ni mwaka wa kwanza

natanguliza shukhran

fuatilia anayofundisha lecturer kwanza,then baadae ndio ukasachi material ili kujazia uliyofundishwa,
 
fuatilia anayofundisha lecturer kwanza,then baadae ndio ukasachi material ili kujazia uliyofundishwa,

nimekuelewa sana mkuu mi natafuta hayo ya kujazia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…