Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakuu habari,
natafuta websites ambazo ntaweza pata notes za masomo yafuatayo
1.DEVELOPMENT STUDIES
2.ACCOUNTS
3.BUSINESS LAW
kwa yeyote mwenye msaada weka hapa ntaupitia kwa roho safi kabisa
mimi ni mwaka wa kwanza
natanguliza shukhran
dogo msikilize lecture wako na udhuri tutorial class zote
then hayo mambo ya mtandao utaongezea
sawa msomi!mkuu mkufunzi ni LECTURER not lecture
sawa msomi!
Tumia hii search engine: Google Scholar
sawa msomi!
kuna muda una busara!