Tuanzishe Kampeni Google watuambie kwanini wamempa Mo Dewji umiliki wa Tanzania

Tuanzishe Kampeni Google watuambie kwanini wamempa Mo Dewji umiliki wa Tanzania

Hahaha NA UKIGOOGLE
"Who used to own Tanzania?" Unapewa historia ya Tanzania.

Tanzania is a result of the unification of Tanganyika (the mainland) and the Zanzibar islands.

Tanganyika and Zanzibar united on 26th April 1964, forming the United Republic of Tanzania. Tanganyika became independent from the British on December 1961 and Zanzibar became free through a revolution on 12th January 1964.
 
Moderators hii mada haihusiani na ile mada "Nani anamiliki Tanzania..."

Kwenye mada "Nani anamiliki Tanzania..." Mwana JF Kinyungu akagugo kwa kutumia neno " Who is the owner of Tanzania" na jibu likaja Mo Dewji. Alipoweka hilo jibu kwenye ile mada nikadhani ni maskhara ama utani, lakini na mimi jibu likaja hilo hilo, nikashangaa sana.

Imekuwaje Google waseme Mo Dewji ndiye mmliki wa Tanzania? Jee Serikali inajua kuwa inasemwa na Google kwamba Mo Dewji ndiye mmiliki wa Tanzania? Jee haina athari kwenye mambo mengi kimataifa, jee imeshatokea watu kuwasiliana na Mo kwa kudhani yeye ndiye anayeimiliki Tanzania?

Na wewe Gugo kwa kutumia sentesi hii "Who the owner of Tanzania" uone jibu litakuja lipi.

Tuipambanie Tanzania yetu.
You never know.. Pengine ndio kawaambia hivyo na sisi ni watumwa wake[emoji35]
 
Hahaha NA UKIGOOGLE
"Who used to own Tanzania?" Unapewa historia ya Tanzania.

Tanzania is a result of the unification of Tanganyika (the mainland) and the Zanzibar islands. Tanganyika and Zanzibar united on 26th April 1964, forming the United Republic of Tanzania. Tanganyika became independent from the British on December 1961 and Zanzibar became free through a revolution on 12th January 1964.
Labda mheshimiwa mwenye nchi alikabidhiwa urithi uliopatikana baada ya Muungano.
 
Je unahitaji simu ya mkononi!????
SAMSUNG PRICE

A Series

A13 gb 64=400k

A13Gb128 = 430k

A03gb 64= 300k

A03core=230k

A04s gb64= 370k

A04s gb128= 400k

A23gb128=550k

A33 gb128=650k

A32 gb128= 550k

A53 gb128=850k

A73 gb128= 1.50 M

A73 gb256= 1.2M

S series

S 6 edge =200k

S 7 edge=230k

S8 plain=260k

S8 plus=290k

S9 plain=290k

S9 plus=350k

S 10 =430k

S 10 plus 5G=550k

S 21 = 1.2M

S 22 ultra = 1.9M

S 23 ultra = 2.3M

TECNO PRICE

Spark8c gb64+2=250k

Spark 8 Gb64 +4=300k

Spark9T gb128/4= 350k

Pop2f =150k

Pop6 4g= 230k

Camon 19 Gb128/4 = 450k

INFINIX PRICE

Hot12 play gb 64= 300k

Hot 11play Gb64=280k

Smart 6 3g= 210k

Note12 Gb128+4=450k

Note12 VIP 256/8= 750k

Smart6 4g gb32= 230k

Hot12i Gb64ram2=250k

Hot12i ram4= 280k

Zero X Pro 256/8 = 600k

ITEL PRICE

A58 = 160k

A56pro=210k

S17=190k

NOKIA

C20 GB32+2 = 192,000 BEI MPYA KWA ZILE SIMU CLEAN AS NEW

( 10/ 1/ 2023) 💥🌟 ( Update)

G O O G L E P I X E L

3 (64 GB)--- 255k

3 (128 GB) -- 300k

3a ---260k

3a XL --- 320k

3 XL ( 64 GB) --- 360k

3 XL ( 128 GB) --- 380k

4a --- 380k

4 ( 64 GB) -- 400k

4 (128 GB ) - 450k

4 XL ( 64 GB) -- 460k

4 XL ( 128 GB) -- 560k

4a (5G)--- 530k

6 pro — 750k

6 - 850k

Pixel 7 - 1.2M
 
Exchange inakubalika nina samsungA13 mpya haijafunguliwa kwenye box, nahitaji pixel 6
 
Kwenye mada "Nani anamiliki Tanzania..." Mwana JF Kinyungu akagugo kwa kutumia neno " Who is the owner of Tanzania" na jibu likaja Mo Dewji. Alipoweka hilo jibu kwenye ile mada nikadhani ni maskhara ama utani, lakini na mimi jibu likaja hilo hilo, nikashangaa sana.

Imekuwaje Google waseme Mo Dewji ndiye mmliki wa Tanzania? Je, Serikali inajua kuwa inasemwa na Google kwamba Mo Dewji ndiye mmiliki wa Tanzania?

Je, haina athari kwenye mambo mengi kimataifa, jee imeshatokea watu kuwasiliana na Mo kwa kudhani yeye ndiye anayeimiliki Tanzania?

Na wewe Gugo kwa kutumia sentesi hii "Who the owner of Tanzania" uone jibu litakuja lipi.

Tuipambanie Tanzania yetu.
Hawa Google hawajui wanalolisema wana boronga maneno tu
 
Hahaha NA UKIGOOGLE
"Who used to own Tanzania?" Unapewa historia ya Tanzania.

Tanzania is a result of the unification of Tanganyika (the mainland) and the Zanzibar islands.

Tanganyika and Zanzibar united on 26th April 1964, forming the United Republic of Tanzania. Tanganyika became independent from the British on December 1961 and Zanzibar became free through a revolution on 12th January 1964.
Kwani google inafanyaje kazi? Google inakurahisishia wewe kupata majibu kutoka kwenye site mbalimbali. It's just a search engine kama zilivo bing, duckduckgo, yahoo, baidu, naver, AOL, na nyingine kibao. Ulipojibiwa hivo angalia ni site gani iliyokujibu ndo uichukulie hatua
 
Hakuna makasiriko yoyote. Nimefurahia tu mjadala.
 
Back
Top Bottom