You never know.. Pengine ndio kawaambia hivyo na sisi ni watumwa wake[emoji35]Moderators hii mada haihusiani na ile mada "Nani anamiliki Tanzania..."
Kwenye mada "Nani anamiliki Tanzania..." Mwana JF Kinyungu akagugo kwa kutumia neno " Who is the owner of Tanzania" na jibu likaja Mo Dewji. Alipoweka hilo jibu kwenye ile mada nikadhani ni maskhara ama utani, lakini na mimi jibu likaja hilo hilo, nikashangaa sana.
Imekuwaje Google waseme Mo Dewji ndiye mmliki wa Tanzania? Jee Serikali inajua kuwa inasemwa na Google kwamba Mo Dewji ndiye mmiliki wa Tanzania? Jee haina athari kwenye mambo mengi kimataifa, jee imeshatokea watu kuwasiliana na Mo kwa kudhani yeye ndiye anayeimiliki Tanzania?
Na wewe Gugo kwa kutumia sentesi hii "Who the owner of Tanzania" uone jibu litakuja lipi.
Tuipambanie Tanzania yetu.
Labda mheshimiwa mwenye nchi alikabidhiwa urithi uliopatikana baada ya Muungano.Hahaha NA UKIGOOGLE
"Who used to own Tanzania?" Unapewa historia ya Tanzania.
Tanzania is a result of the unification of Tanganyika (the mainland) and the Zanzibar islands. Tanganyika and Zanzibar united on 26th April 1964, forming the United Republic of Tanzania. Tanganyika became independent from the British on December 1961 and Zanzibar became free through a revolution on 12th January 1964.
HahahaLabda mheshimiwa mwenye nchi alikabidhiwa urithi uliopatikana baada ya Muungano.
Exchange inakubalika nina samsungA13 mpya haijafunguliwa kwenye box, nahitaji pixel 6Je unahitaji simu ya mkononi!????
SAMSUNG PRICE
A Series
A13 gb 64=400k
A13Gb128 = 430k
A03gb 64= 300k
A03core=230k
A04s gb64= 370k
A04s gb128= 400k
A23gb128=550k
A33 gb128=650k
A32 gb128= 550k
A53 gb128=850k
A73 gb128= 1.50 M
A73 gb256= 1.2M
S series
S 6 edge =200k
S 7 edge=230k
S8 plain=260k
S8 plus=290k
S9 plain=290k
S9 plus=350k
S 10 =430k
S 10 plus 5G=550k
S 21 = 1.2M
S 22 ultra = 1.9M
S 23 ultra = 2.3M
TECNO PRICE
Spark8c gb64+2=250k
Spark 8 Gb64 +4=300k
Spark9T gb128/4= 350k
Pop2f =150k
Pop6 4g= 230k
Camon 19 Gb128/4 = 450k
INFINIX PRICE
Hot12 play gb 64= 300k
Hot 11play Gb64=280k
Smart 6 3g= 210k
Note12 Gb128+4=450k
Note12 VIP 256/8= 750k
Smart6 4g gb32= 230k
Hot12i Gb64ram2=250k
Hot12i ram4= 280k
Zero X Pro 256/8 = 600k
ITEL PRICE
A58 = 160k
A56pro=210k
S17=190k
NOKIA
C20 GB32+2 = 192,000 BEI MPYA KWA ZILE SIMU CLEAN AS NEW
( 10/ 1/ 2023) π₯π ( Update)
G O O G L E P I X E L
3 (64 GB)--- 255k
3 (128 GB) -- 300k
3a ---260k
3a XL --- 320k
3 XL ( 64 GB) --- 360k
3 XL ( 128 GB) --- 380k
4a --- 380k
4 ( 64 GB) -- 400k
4 (128 GB ) - 450k
4 XL ( 64 GB) -- 460k
4 XL ( 128 GB) -- 560k
4a (5G)--- 530k
6 pro β 750k
6 - 850k
Pixel 7 - 1.2M
Hawa Google hawajui wanalolisema wana boronga maneno tuKwenye mada "Nani anamiliki Tanzania..." Mwana JF Kinyungu akagugo kwa kutumia neno " Who is the owner of Tanzania" na jibu likaja Mo Dewji. Alipoweka hilo jibu kwenye ile mada nikadhani ni maskhara ama utani, lakini na mimi jibu likaja hilo hilo, nikashangaa sana.
Imekuwaje Google waseme Mo Dewji ndiye mmliki wa Tanzania? Je, Serikali inajua kuwa inasemwa na Google kwamba Mo Dewji ndiye mmiliki wa Tanzania?
Je, haina athari kwenye mambo mengi kimataifa, jee imeshatokea watu kuwasiliana na Mo kwa kudhani yeye ndiye anayeimiliki Tanzania?
Na wewe Gugo kwa kutumia sentesi hii "Who the owner of Tanzania" uone jibu litakuja lipi.
Tuipambanie Tanzania yetu.
Kwani google inafanyaje kazi? Google inakurahisishia wewe kupata majibu kutoka kwenye site mbalimbali. It's just a search engine kama zilivo bing, duckduckgo, yahoo, baidu, naver, AOL, na nyingine kibao. Ulipojibiwa hivo angalia ni site gani iliyokujibu ndo uichukulie hatuaHahaha NA UKIGOOGLE
"Who used to own Tanzania?" Unapewa historia ya Tanzania.
Tanzania is a result of the unification of Tanganyika (the mainland) and the Zanzibar islands.
Tanganyika and Zanzibar united on 26th April 1964, forming the United Republic of Tanzania. Tanganyika became independent from the British on December 1961 and Zanzibar became free through a revolution on 12th January 1964.
Hakuna makasiriko yoyote. Nimefurahia tu mjadala.Kwani google inafanyaje kazi? Google inakurahisishia wewe kupata majibu kutoka kwenye site mbalimbali. It's just a search engine kama zilivo bing, duckduckgo, yahoo, baidu, naver, AOL, na nyingine kibao. Ulipojibiwa hivo angalia ni site gani iliyokujibu ndo uichukulie hatua