Opportunity Cost JF-Expert Member Joined Dec 10, 2020 Posts 9,034 Reaction score 6,913 Jul 20, 2021 #1 Habari wakuu. Kuna haja ya Kuanzisha leseni ya ulevi kwa mdaraja tofauti tofauti Ili kuwa chanzo cha mapato na kulinda watoto chini ya miaka 18. Mfano wa leseni utakuwa kama hii hapa chini ππ
Habari wakuu. Kuna haja ya Kuanzisha leseni ya ulevi kwa mdaraja tofauti tofauti Ili kuwa chanzo cha mapato na kulinda watoto chini ya miaka 18. Mfano wa leseni utakuwa kama hii hapa chini ππ
D DUMU JF-Expert Member Joined Sep 23, 2019 Posts 440 Reaction score 587 Jul 20, 2021 #2 Wazo zuri lkn kwa serikali hii hizo tozo zitakuwa siohimilivu
Opportunity Cost JF-Expert Member Joined Dec 10, 2020 Posts 9,034 Reaction score 6,913 Jul 20, 2021 Thread starter #3 DUMU said: Wazo zuri lkn kwa serikali hii hizo tozo zitakuwa siohimilivu Click to expand... Kwa nini mkuu
DUMU said: Wazo zuri lkn kwa serikali hii hizo tozo zitakuwa siohimilivu Click to expand... Kwa nini mkuu
RRONDO JF-Expert Member Joined Jan 3, 2010 Posts 55,727 Reaction score 123,094 Jul 20, 2021 #4 Kwani leseni za sasa hivi huku bara hazina madaraja?
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Jul 20, 2021 #5 Opportunity Cost said: Habari wakuu. Kuna haja ya Kuanzisha leseni ya ulevi kwa mdaraja tofauti tofauti Ili kuwa chanzo cha mapato na kulinda watoto chini ya miaka 18. Mfano wa leseni utakuwa kama hii hapa chini [emoji116][emoji116] View attachment 1860593 Click to expand... Leseni za udereva zimefeli.. Wengi wanaozimiliki hawana vigezo.. Na hiyo ya Zanzibar ni leseni kwa ajili ya kuuza vilevi sio leseni ya mtumiaji
Opportunity Cost said: Habari wakuu. Kuna haja ya Kuanzisha leseni ya ulevi kwa mdaraja tofauti tofauti Ili kuwa chanzo cha mapato na kulinda watoto chini ya miaka 18. Mfano wa leseni utakuwa kama hii hapa chini [emoji116][emoji116] View attachment 1860593 Click to expand... Leseni za udereva zimefeli.. Wengi wanaozimiliki hawana vigezo.. Na hiyo ya Zanzibar ni leseni kwa ajili ya kuuza vilevi sio leseni ya mtumiaji
Opportunity Cost JF-Expert Member Joined Dec 10, 2020 Posts 9,034 Reaction score 6,913 Jul 20, 2021 Thread starter #6 Mshana Jr said: Leseni za udereva zimefeli.. Wengi wanaozimiliki hawana vigezo.. Na hiyo ya Zanzibar ni leseni kwa ajili ya kuuza vilevi sio leseni ya mtumiaji Click to expand... Nataka leseni ya watumiaji sio wauzaji
Mshana Jr said: Leseni za udereva zimefeli.. Wengi wanaozimiliki hawana vigezo.. Na hiyo ya Zanzibar ni leseni kwa ajili ya kuuza vilevi sio leseni ya mtumiaji Click to expand... Nataka leseni ya watumiaji sio wauzaji
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Jul 20, 2021 #7 Opportunity Cost said: Nataka leseni ya watumiaji sio wauzaji Click to expand... Sawa blaza