Tatizo lipo kwa walimu wanaofundisha na wanafunzi pia kwani wanafunzi wamejijengea inferiority complex, na kizazi hiki cha 2000+ hakitaki kujisumbua kabisa kufuatilia masomo bali wanataka kukaririshwa vitu vyepesi,huwezi kuitwa mtaalamu wa hesabu kwa kubobea mada moja tu mfano Algebra peke yake nawe ujiite mtaalamu wa hesabu