Ole wako...
Kama chako unatoa kirahisi hivyo nifanyie ihsani mimiHizi ni zama za uhuru na usawa ambapo haki za binadamu zinaheshimiwa.
Kwahiyo, hii tabia ya kwamba mkiwa kwenye ndoa ama mahusiano unataka mwenza wako asiwe na uhuru na haki ya kutumia kiungo chake (uume/uke) kwa mtu mwingine ni batili.
Wanaoingia kwenye ndoa ni watu wazima. Sasa mtu mzima ameamua kwa hiari yake kumpa penzi mtu mwingine. Wewe unamaimdi!! Kwann??
Hutaki mwenzako atumie haki yake ?? Kwani kiungo ni chako??
Huyu ana laana ya wazazi wake
Una shida mahala wewe si bureHizi ni zama za uhuru na usawa ambapo haki za binadamu zinaheshimiwa.
Kwahiyo, hii tabia ya kwamba mkiwa kwenye ndoa ama mahusiano unataka mwenza wako asiwe na uhuru na haki ya kutumia kiungo chake (uume/uke) kwa mtu mwingine ni batili.
Wanaoingia kwenye ndoa ni watu wazima. Sasa mtu mzima ameamua kwa hiari yake kumpa penzi mtu mwingine. Wewe unamaimdi!! Kwann??
Hutaki mwenzako atumie haki yake ?? Kwani kiungo ni chako??
Hizi ni zama za uhuru na usawa ambapo haki za binadamu zinaheshimiwa.