Tubadilishane gari na Nyumba? Nipo Mwanza

Tubadilishane gari na Nyumba? Nipo Mwanza

Wakuu,

Nyumba thamani yake ni milion 12, vyumba vitatu na kimoja cha nje. Imefanyiwa wiring bado umeme lakini vyote umeme na maji vyote vipo jiran tu nyumba ya pili ni kuvuta tu.

Gari nalotaka lenye thamani ya milion 8. Lisiwe bovu.

Mahali mwanza.
Nyumba iko Mwanza mtaa gani?
 
Huwa inapanda kulingana na idadi ya posts zake, hata kama umejiunga 2010 kama huchangii sana unabaki kuwa Member au Senior Member tu.
aisee uyo jamaa ivo vitu vinamuhangaisha
 
Back
Top Bottom