Tubadilishane Utaalamu wa kufunga satellite dishi 1 lnb 6

Iyo gsky tofauti yake na zingine ni nini mkuu
Inafanya vizuri zaidi kwenye
- pv &
- iptv - Ina apps nyingi tofauti na receiver zingine tajwa hapo juu
 
Kupitia Decorder zetu za
Alphabox X4 +
Alphabox X6
Qsat 28G
Umaweza kuangalia chennel nyingi zikiwemo sports channel kama
Sony six
Sony Espn
Sports 24 Hd
Bure bila ya kulipia kwa mwezi
 
Kupitia Decorder zetu za
Alphabox X4 +
Alphabox X6
Qsat 28G
Umaweza kuangalia chennel nyingi zikiwemo sports channel kama
Sony six
Sony Espn
Sports 24 Hd
Bure bila ya kulipia kwa mwezi
Kuna channel gani za English action movies?
 
Continental cdm 4
Sawa, ili ufurahie FTA kwa ujumla wake
1. Upate decoder ambayo sio ya kampuni yeyote, yaani isiwe ya azam, continental, dstv wala startimes - maana hizi zimefungwa na ziko paired na kadi ya kampuni husika

2. Pata dish la FT6 au FT8

3. Pata fundi wa kukufanyia kazi

Hapo ndipo utafurahia TV channel bila malipo ya kila mwezi, Pata kujifunza zaidi kwenye hii thread pia: https://www.jamiiforums.com/threads...jia-ya-kuepuka-visimbusi-vya-kulipia.1022441/
 
Ahsante sanaa mwl
 
*PakSat 1R @38.East*

4004 V 15555 MPEG2/BISS

SID.0004 Key. F7E9 A7AB 1957 CDAB

Or Key. F7E9 A700 1957 CD00
 
Power vu ndo natak software yake
Kwa decoder gani? Nimeuliza hivyo kwa sababu kuna powervu software tofauti tofauti kwa aina tofauti za visimbuzi, hata kama ni za kampuni moja. Mfano, software ya Qsat Q28 huwezi kuitumia kwenye Qsat Q 15 ama 26. Nadhani nimeeleweka
 
Mimi bado sijaelewa kabisa naitaji kujua namna ya kufunga dishi
 
mkuu Satellite zote hizi zinapatikana kwa dish moja , yaani unaweka LNB 6 kwenye dish la ft6??je 36.0eEutelsat36A-36B zinafungua channels za ZIP?
 
Huu uzi ni useful, subiri nkirudi home nikafumue fumue lile dishi nilitege upya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…