Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 14,624
- 20,666
Mwl.RCT naomba unifanyie hiyo kazi Nina dish la futi 6 na la dstv pia nini zaidi?
- Nimekutumia PM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwl.RCT naomba unifanyie hiyo kazi Nina dish la futi 6 na la dstv pia nini zaidi?
Mkuu nyondoloja mimi nina Strong Receiver SRT 4620II Mpeg 2, hii ilikuwa ya MyTV ina Option ya kudecode (Ina Smart Card) niliwahi kulipia MyTV baadae nikaacha. Sasa naweza kufunga kwa muundo wako hizo LNB? Na kuna namna ya kuchakachua kupata channel za malipo kwa hii njia ya Smart Card?
Kwa sasa channell nyingi kwenye 36E upande wa DSTV ni FTA ila bado najaribu kuongeza LNB ya KU kwenye upande wa Intelsat 906 ila sijafanikiwa.
Za Tanzania ni ITV,EATV,TBC1,STAR TV,CHNL 10,na ATN,. KENYA ipo K24,.ZAMBIA ipo Muvi tv Africa,. NIGERIA ipo EMMANUEL TV,. Nyingie ni SETANTA AFRICA,CNN,ALJAZEERA,EBRU AFRICA ya South Africa,LOVE WORLD PLUS,nk. Zote za mwanzo ni kwa MPEG4 RECEIVER. Good Luck.
Msaada jinsi ya kufunga lbn ya Ku-band,maana nimejaribu bila mafanikio...receiva yangu ni mediacom910+new na dish futi6...kwenye c band napata itv na ndugu zake ,ch10,mozambique,imaan,star tv ,tbc
Naomba ufafanuz wa aljezira na hiz channel zake za beinsports znapatikanaje nmeona hapa tabora lakin mbeya kwann....
ShingapiNauza dish la Azam Ft 6