Tubadilishane Utaalamu wa kufunga satellite dishi 1 lnb 6

JF wazima ? pata ujuzi kidogo nawe kama una maujanja ongeza wengi wetu tumejaza madishi nyumbani kwetu
kwakutumia mfumo huu unaweza ukapunguza. dishi 1 ft 6 unaweza kufunga LNB sita CBD-3 na KU-3 ukituli hadi CBD 4

angalia hi picha nilivyo funga hapa nyumbaniView attachment 80099

tuanze na hii chini 36.0e kwenda juu 78.5e

36.5e Euntelsat 36A-36B hapo zinapatikana za DSTV, AGAPE, ZAP, nk
57.0e NSS 12 hapo zinapatika za ZUKU, na FTA kenya
64.2e lntelsat 906 hapo za tanzania mzq nk
68.5e lntelsat 20 KU kuna za sauzi,naijelia,dini nk
68.5E lntelsat 20 CBD kuna iljzr,kihindi[/C
JE HAPO KILA SAT NA DECODER YAKE.VIPI KTK ULIPAJI KNG'AMUZI KILA KIMOJA KVYAKE? NIFUMBUE MKUU
 
JE HAPO KILA SAT NA DECODER
Hapana si kila sat. Na decode yake

Bali sat zote utaziunga katika decoder moja kwa kutumia kifaa kinachoitwa diseqc switch[Pichani]
8x1_diseqc_switch.jpg
VIPI KTK ULIPAJI KNG'AMUZI
Channel utakazo weza kuona ni zile to ambazo ni FTA

Hakuna swala la kulipia,
 
wacha na mm nianze kujaribu kufanya hayo mautundu kiongoz nimeipenda sana.
 
mi naomba msada wa kuifunga ku chini ya cband kwa ajili ya kupata channel za kenya na frq za kutafutia natumia receiver ya mpg4 hd.asanthen ni hv karibuni ndo nimeanza kuwa na bidii ya kujua haya mambo ya madish.
 
Nimefanikiwa kuipata euntelsat 36 ila channel nimezipata nyingi ni za china kama kuna fr za kuongezea naombeni natumia rc ya mpeg4 asanten kwa elimu hii.
 
JE HAPO KILA SAT NA DECODER
Hapana si kila sat. Na decode yake

Bali sat zote utaziunga katika decoder moja kwa kutumia kifaa kinachoitwa diseqc switch[Pichani]
8x1_diseqc_switch.jpg
VIPI KTK ULIPAJI KNG'AMUZI
Channel utakazo weza kuona ni zile to ambazo ni FTA

Hakuna swala la kulipia,

Mwalim hiyo diseq nawezakuipata wapi? Na je? naweza kutumia hata kwenye Wiztech pia kama nawezakutumia ni sh ngapi?
 
  • Zinazopatikana kiurahisi ni hizi za njia 4
  • Diseqc 4*1 imauzwa kai ya tsh 3'500 hadi 5'000
  • Inategemea ni sehemu gani umeikuta, Zinapatikana kiurahisi sana kwenye maduka ya vifaa vya sat.
  • Ndio unaweza kuitumia kwenye wiztech yako Charles kikoti
 
Last edited by a moderator:
Kama kuna mwenye maujuzi ya kufanya ivi Mwanza anipm tafadhali.
 
habari zenu wana JF
naomba msaada ni jinsi gani naweza kufunga LNB mbili kwenye dish dogo kama haya ya DSTV au Azam tv?
 
icheki picha yahiyo dishi LNB kunanamba za satellite zimewekwa chini kunamaelezo yake

Ubarikiwe mkuu, naomba unijuze. Je kwa mimi mwenye dishi la STARTIMES kunauwezekano wa kupata teknolojia hii. Nahitaji nipate channels za continental na kununua dish lingine napata ugumu. Msaada please.
 
habari zenu wana JF
naomba msaada ni jinsi gani naweza kufunga LNB mbili kwenye dish dogo kama haya ya DSTV au Azam tv?
  • Ndio unaweza
  • Unatakiwa uwe na LNB bracket [ mfanowake pichani ]
  • Pia uwe na fundi mzuri
digiwave_dwd_85te_1_700x700.jpg
 
Ubarikiwe mkuu, naomba unijuze. Je kwa mimi mwenye dishi la STARTIMES kunauwezekano wa kupata teknolojia hii. Nahitaji nipate channels za continental na kununua dish lingine napata ugumu. Msaada please.
  • Ndio inawezekana
  • Ila kwanza nunua decoder mpya yeyote ya MPEG4 yaweza kuwa ni MEDIACOM, WIZTECH, QSAT au STRONG STR
  • Sambamba na mpeg4 decoder nunua dish la ft 6
  • Karibu
 
Kwa hiyo MLM. hili dish la startimes halitatumika? maana dish nililonalo ni haya ya startimes na nataka niongezee channels za continental bila ya kutafuta dish lingine. Shukrani
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo MLM. hili dish la startimes halitatumika? maana dish nililonalo ni haya ya startimes na nataka niongezee channels za continental bila ya kutafuta dish lingine. Shukrani
  • Litatumika hilo hilo dish
  • Utabadili mwelekeo ili kupata mawimbi husika
  • Ila receiver utatafuta nyingine siyo hiyo ya startimes
 
Mwl.RCT naomba unifanyie hiyo kazi Nina dish la futi 6 na la dstv pia nini zaidi?
 
  • Litatumika hilo hilo dish
  • Utabadili mwelekeo ili kupata mawimbi husika
  • Ila receiver utatafuta nyingine siyo hiyo ya startimes

Asante sana mkuu. Najua receiver inahitajika nyingine. Je hakuna vitu vingine vinavyohitajika zaidi ya hiyo receiver maana lengo nataka niwe multipurpose i.e niwe na uwezo wa access startimes, continental na hata azam media.
 
Back
Top Bottom