MR.NOMA
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 339
- 505
Habari za Jumapili wadau? Naomba tupeane uzoefu wote humu, men & women, siku ya kwanza unaanza kutumia mpira kufanya mapenzi ilikuwaje, ulipata changamoto zozote ?! Zipi? Ulifanyaje/ mlifanyaje kuzitatua na mwenzako mkiwa eneo la tukio. Naanza kusimulia kwa upande wangu, mimi nilikuwa kidato cha kwanza nikapendwa na mdada wa umri ulionizidi kama miaka mi 3 hivi , she was so beauty and amazing. Sasa tukapanga shoo porini maana hata pesa ya loj hatuna, mimi kwa kuwa mshua alikuwa akinionya sana juu ya mabinti na ukimwi basi nikajiongeza nikaenda dukani kununua ndom, bas tukakutana porini nikakata majani na kuyatandika chini na mrembo alivua pichu na kujilaza sasa, nikacha pakit ile nikisoma maelekezo ya namna ya kutumia bas nikaikunjua yote na kuanza ivaa, nikapambana ikanishinda. Nikatupa kule nikachukua nyingine, nikamwambia yule binti hiyo ilikuwa ndogo hainitoshi, nayo ikanishinda. Badae aliniuliza kama nishawahi fanya nikamwambia bado, bas akasema kwakuwa hata yeye bado. Tukaamua kupiga show barely. Nashukuru Mungu alikuwa hajawahi fanya, mimi ndio nilimfungua. Lete uzoefu wako kuhusu condom siku ya kwanza!!