Tubadilishane uzoefu: Unawasaidiaje vibaka wa maeneo ulipo kuwa raia wema?

Tubadilishane uzoefu: Unawasaidiaje vibaka wa maeneo ulipo kuwa raia wema?

RWANTANG

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2021
Posts
1,143
Reaction score
1,425
Kama kichwa cha mada kinavyo jieleza tubadilishane uzoefu kuhusu hilo.

Kwa upande wangu hujichanganya nao na kupiga nao stori mbili tatu lengo ni kujua misimamo yako na maisha yao ya baadae pia kutambua ambao hawapendi ukibaka bali kuna msukumo unao wapelekea kuwa hivyo

Kisha huwaweka pamoja na kuwafunza kazi za mikono ambazo ni rahisi zinazowashughulisha na kuwapatia kipato na kumudu kuendesha maisha yao.

Je, nawe hutumia njia gani?

Tiririka
 
Back
Top Bottom