Tubadirike katika manunuzi ya magari

Tubadirike katika manunuzi ya magari

lucky sabasaba

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
1,656
Reaction score
1,204
Nilitoa tangazo moja kuwa kuna gari naliuza mada kubwa ilikuwa picha..picha..tujifunze kitu kimoja teknolojia inabadirika kila siku..ndio maana unapoagiza gari tra wanakutoza kodi kwa kuangalia tu chasis number ya gari lako iliyoandikwa kwenye docs za kutolea gari bandarini (BL)wewe wawezasema gari umenunua kwa $3000 tra wakasema hapana umenunua kwa $4500 kwa kuangalia tu chasis number bila kuliona gari lako wala picha ya hilo gari..wajapani wanapenda sana kufanya biashara ya magari na sisi maana tunaridhika na picha tu !!!ata mimi miaka ya nyuma niliwahinunua gari baada ya mwuzaji kuniambia ni ya mwaka 2004 na kuridhika na picha lakini siku gari lilipofika mikononi mwangu nikagundua lilikuwa la mwaka 2000!!sasa tujifunze kuuliza chasis number ile itakupa information zote za gari..manual au automatic..petrol au disel..imetengenezwa mwaka gani..ata picha ya gari..pia wawezajua kama gari unalotakanunua ni la wizi au limepata ajari nk..so unapoagiza gari iwe online etc,pindi unapouliza chasis number mwuzaji atajua ana deal na mtu anayejua hivyo uongo utapotea..wauzaji wanauwezo wa kufanya gari automatic iwe manual..left hand iwe right hand..iliyotembea maili 100000 isomeke imetembea maili 30000 na ya mwaka 1999 isomeke ya mwaka 2002 ili apate faida..lakini ukijua kutumia chasis number vyote utavijua bila tatizo lolote..teknolojia imebadirika hivyo nasi tubadirike..ata uendapo kununua spare ya gari lako sema unaitaji mfano taa ya chasis lh 184-1016215 huitaji kupiga picha wala nini..mwuzaji mzuri atakuuliza namba tano za mwanzo za chasis number yako..thanks +971504374387 dubai
 
Umeongea vng lakn havina msaada, umekuja na wazo mbadala lakn hujaeleza ni jns gan unaweza kuisoma hiyo Chassis namba...toa msaada hapo!!Pili kama wanaweza kubadilisha kila kitu, vp Chassis namba hawawez kuibadilisha?
 
hebu tupe elimu jinsi ya kuifanyia kazi hizo namba
 
Nilitoa tangazo moja kuwa kuna gari naliuza mada kubwa ilikuwa picha..picha..tujifunze kitu kimoja teknolojia inabadirika kila siku..ndio maana unapoagiza gari tra wanakutoza kodi kwa kuangalia tu chasis number ya gari lako iliyoandikwa kwenye docs za kutolea gari bandarini (BL)wewe wawezasema gari umenunua kwa $3000 tra wakasema hapana umenunua kwa $4500 kwa kuangalia tu chasis number bila kuliona gari lako wala picha ya hilo gari..wajapani wanapenda sana kufanya biashara ya magari na sisi maana tunaridhika na picha tu !!!ata mimi miaka ya nyuma niliwahinunua gari baada ya mwuzaji kuniambia ni ya mwaka 2004 na kuridhika na picha lakini siku gari lilipofika mikononi mwangu nikagundua lilikuwa la mwaka 2000!!sasa tujifunze kuuliza chasis number ile itakupa information zote za gari..manual au automatic..petrol au disel..imetengenezwa mwaka gani..ata picha ya gari..pia wawezajua kama gari unalotakanunua ni la wizi au limepata ajari nk..so unapoagiza gari iwe online etc,pindi unapouliza chasis number mwuzaji atajua ana deal na mtu anayejua hivyo uongo utapotea..wauzaji wanauwezo wa kufanya gari automatic iwe manual..left hand iwe right hand..iliyotembea maili 100000 isomeke imetembea maili 30000 na ya mwaka 1999 isomeke ya mwaka 2002 ili apate faida..lakini ukijua kutumia chasis number vyote utavijua bila tatizo lolote..teknolojia imebadirika hivyo nasi tubadirike..ata uendapo kununua spare ya gari lako sema unaitaji mfano taa ya chasis lh 184-1016215 huitaji kupiga picha wala nini..mwuzaji mzuri atakuuliza namba tano za mwanzo za chasis number yako..thanks +971504374387 dubai
Ttoa basi maelezo jinsi chasis number inavyoweza kupa details za gari ,Arifu?
 
Hamjajua Lengo Lake? Si mmeona kaweka na Namba ya Simu? Akili Kumukichwa.
 
Nashukuru kwa ufuatiliaji na maswali mlouliza niwatoe kidogo kwenye mada siku hizi kwenye viwanja vingi vya ndege vya kimataifa uwa wanafanya eye scan badala ya kuweka dole gumba wao wanafanya eye scanning hii ni teknolojia ya juu maana pindi ufanyapo kosa na ukifukuzwa kutoka kwenye nchi husika huwezi kurudi tena ata ubadirishe jina na passport maana wanakuwa wana rekodi ya macho yako ambayo huwezi kuyabadili ukisema uyang'oe sijuhi kama ndio itakuwa suruhisho maana sijuhi kama kuna mtu aliyewahijaribu...narudi kwenye mada yetu bwana munisijo kauliza kama chasis namba kwanini wasiwezeibadirisha kama ilivyo jicho pale airport ubadirishaji wa chasis number si rahisi namna hii ipo kwenye injini ya gari lako pia ipo kwenye bodi la gari lako..kama gari lako chasis namba ya injini ikiwa tofauti na bodi ujue sio original..bwana scofied na akenajo walipenda kujua ukipata hiyo chasis namba uganyeje ???kuna program maalumu ambayo polisi ..tra..au wauza magari wanayo ata wewe wawezakuidownnload foe free ktk computer yako andika vin.com ikifunguka itakupa option ya kuidownload maana ya vin ni vehicle identifocation number ni jina lingine la chasis number..ata leo weka namba hiyo kichwani itakusaidia sana pindi gari lako litakapoibowa watabadirisha rangi lakini hawatabadili chasis number..ukienda kwa mwuzaji mzuri wa spare au mfanyakazi wa tra swhemu ya magari atakuwa anajua vizuri hiki nachokisema mimi nilifundishwa na bwana mmoja hapa dubai yeye ana showroom kubwa ya magari..kila gari uwa lina namba yake ya tofauti kama lilivyo jicho kwa watu..niliwahituma toyota ist mbili za mwaka 2003 nilishtuka zilikuwa na ushuru wa tra tofauti moja ilikiwa 2.8ml jingine 3.5ml kumbe tra kwa kuangalia tu chasis number waliwezajua utofauti wa magari hayo mawili ambayo kwa kutegemea picha yalikuwa yanafanana lakini kwa chasis number yalionyesha utofauti mkubwa..kumbuka mwizi akiiba gari lako anawezabadiri rangi au kulifanya manual kama lilikuwa automatic lakini hatawezakubasili chasis number...aksanteni
 
mdau ahsante sana! With immediately effect ntaanza fuatilia hili somo
 
umenena vyema mkuu huo utaratibu unatumika sana uk.
 
Hamjajua Lengo Lake? Si mmeona kaweka na Namba ya Simu? Akili Kumukichwa.
Spot on mkuu, mimi nilisha gundua lengo lake anatangaza biashara na si ajabu yuko Dubai: Mkuu chunga sana magari yanayotoka Dubai; wanambinu za kuhunga magari mawili yaliyopata ajali na kupata gari moja! Jaribu kuangalia kwa umakini rangi za baadhi ya milango ya magari yanayo toka huko utaona rangi azirandani kisawa sawa hii inadhilisha ziliwahi kupata ajali wakabadirisha milango; kwenye odometer wana zichezea kwa kurudisha nyuma Kilometer/Miles ili lionekane limetembea km/ml kidogo kumbe ni ulaghai mtupu. Ukitaka kuwa na uhakika gari lilihundwa mwaka gani angalia nembo kwenye mikanda ya kuzuhia hatari inayo fungwa kwenye viti vya kukalia vya mbele, pili ukitaka kujua kama gari imetumika sana bila ya kujali muonekano wa nje au milage, angalia viti vya kukalia hasa hasa vya mbele specifically cha dereva kama gari iliwahi kutumika sana cushion za viti zitaonekana kuchoka na kupahuka rangi na mikanda itaonekana ina nyuzi nyuzi na kupahuka. Mimi nawashauri wana JF wanunue magari kutoka makampuni ya Japan yenye uzoefu wa muda mrefu wa kuhuza magari, hawa jamaa wananunua magari kwenye minada lakini wanayakagua kwa umakini sana na kubadilisha vipuri ambavyo vinaonekana vimechoka, hawana mambo ya udanganyifu - hawataki kijiharibia sifa.
 
Jamani ni kweli mimi nipo dubai sifanyi biz ya magari naona wengine wanasema wanataka kuibiwa ntakuibia nini wakati wewe mwenyewe umeshajiibia ???natoa matumizi ya chasis number ili ata utakapoagiza gari iwe japan uk au sehemu nyingine yoyoye uwezejua itumia hiyo vehicle identification number...ata japan kuna matapeli wanaouza gari za ajari..mimi mwenyewe nimeshatapeliwa na gari iliyotoka japan baada ya kudanganywa mwaka wa gari...kama ningejua kutumia chasis number nisingedanganywa.. bwana bukyanagadi huna kitu cha kuibiwa husiofu sitakikufanya biz yoyoye nawe
 
Nilitoa tangazo moja kuwa kuna gari naliuza mada kubwa ilikuwa picha..picha..tujifunze kitu kimoja teknolojia inabadirika kila siku..ndio maana unapoagiza gari tra wanakutoza kodi kwa kuangalia tu chasis number ya gari lako iliyoandikwa kwenye docs za kutolea gari bandarini (BL)wewe wawezasema gari umenunua kwa $3000 tra wakasema hapana umenunua kwa $4500 kwa kuangalia tu chasis number bila kuliona gari lako wala picha ya hilo gari..wajapani wanapenda sana kufanya biashara ya magari na sisi maana tunaridhika na picha tu !!!ata mimi miaka ya nyuma niliwahinunua gari baada ya mwuzaji kuniambia ni ya mwaka 2004 na kuridhika na picha lakini siku gari lilipofika mikononi mwangu nikagundua lilikuwa la mwaka 2000!!sasa tujifunze kuuliza chasis number ile itakupa information zote za gari..manual au automatic..petrol au disel..imetengenezwa mwaka gani..ata picha ya gari..pia wawezajua kama gari unalotakanunua ni la wizi au limepata ajari nk..so unapoagiza gari iwe online etc,pindi unapouliza chasis number mwuzaji atajua ana deal na mtu anayejua hivyo uongo utapotea..wauzaji wanauwezo wa kufanya gari automatic iwe manual..left hand iwe right hand..iliyotembea maili 100000 isomeke imetembea maili 30000 na ya mwaka 1999 isomeke ya mwaka 2002 ili apate faida..lakini ukijua kutumia chasis number vyote utavijua bila tatizo lolote..teknolojia imebadirika hivyo nasi tubadirike..ata uendapo kununua spare ya gari lako sema unaitaji mfano taa ya chasis lh 184-1016215 huitaji kupiga picha wala nini..mwuzaji mzuri atakuuliza namba tano za mwanzo za chasis number yako..thanks +971504374387 dubai

Umeweka bayana jambo moja muhimu la msingi kwani wengi hawafahamu hayo, wanachojua tu ni kuwa na gari.
Kila gari lina VIN ambayo kirefu chake ni Vehicle Identification Number, ambayo mwandishi amesema chasis sina hakika kama maana ya namber hiyo ni number ya chasis, ninachojua ni Utambulisho wa gari na historia yake tangu toka kwa Car assembly. Utawezaje kuwajua na kuwatambua individual watoto mapacha? Pamoja na mapacha kufanana lakini kati finger print hawafanani, wanatofautiana mno. Ndivyo ilivyo kwa VIN za magari.

Mambo msingi ya kujua ni kama ifuatavyo:
  • Kila kiwanda cha kuunda magari kina number ya kila gari ambayo huingizwa kwenye mtandao wa computer system.
  • Unaosajili gari yako serikalini kinachosajiliwa haswa ni VIN, namba ambayo hutofautisha kati ya gari na gari kama ilivyo watoto wa familia mmoja lakini kila mmoja ni peke yake kinafsi.
  • VIN ndiyo inayosaidia utambuzi wa gari kwa njia ye yote iwe umiliki, makosa ya traffic nk.
  • VIN ndiyo inayoonyesha historia ya gari tangu iundwe, usajiri na malipo ya bima, mlolongo wa wamiliki na usajili, historia ya ajali, nk.

Wapi utapata VIN ya gari
  • Kwa magari madogo ya kawaida ya kutembelea, upande wa seat ya driver mbele yake unachungulia kutoka kwenye wind screen utakuta imebandikwa namba hiyo.
  • Kama upande wa driver huioni, basi upande wa seat ya abiria.
  • Magari Makubwa nayo vivyo hivyo ila sina hakika sehemu inakobandikwa VIN.

Ili kujua maana sahihi na historia ya VIN soma maelezo haya hapa chini:

A Vehicle Identification Number, commonly abbreviated to VIN, is a unique serial numberused by the automotive industry to identify individual motor vehicles, towed vehicles,motorcycles and mopeds as defined in ISO 3833. VINs were first used in 1954.[SUP][1][/SUP] From 1954 to 1981, there was no accepted standard for these numbers, so different manufacturers used different formats.
In 1981, the National Highway Traffic Safety Administration of the United States standardized the format.[SUP][1][/SUP] It required all over-the-road-vehicles sold to contain a 17-character VIN, which does not include the letters I (i), O (o), or Q (q) (to avoid confusion with numerals 1 and 0).
There are vehicle history services in several countries that can help potential car owners use VINs to find lemons and branded vehicles. See the used car article for a list of countries where this service is available.
[h=2]VIN: classification[/h]There are at least four competing standards used to calculate VIN.

  • FMVSS 115, Part 565: Used in United States and Canada
  • ISO Standard 3779: Used in Europe and many other parts of the world
  • SAE J853: Very similar to the ISO standard
  • ADR 61/2 used in Australia, referring back to ISO 3779 and 3780.[SUP][2][/SUP]
[SUP][h=3]World Manufacturer Identifier[/h]The first three characters uniquely identify the manufacturer of the vehicle using the World Manufacturer Identifier or WMI code. A manufacturer who builds fewer than 500 vehicles per year uses a 9 as the third digit, and the 12th, 13th and 14th position of the VIN for a second part of the identification. Some manufacturers use the third character as a code for a vehicle category (e.g., bus or truck), a division within a manufacturer, or both. For example, within 1G (assigned to General Motors in the United States), 1G1 represents Chevroletpassenger cars; 1G2, Pontiac passenger cars; and 1GC, Chevrolet trucks.
The Society of Automotive Engineers (SAE) in the U.S. assigns WMIs to countries and manufacturers.[SUP][6][/SUP]
The first character of the WMI is the region in which the manufacturer is located. In practice, each is assigned to a country of manufacture, although in Europe the country where the continental headquarters is located can assign the WMI to all vehicles produced in that region (Example: GM Europe cars whether produced in Germany, Spain, UK, Belgium or Poland carry the W0 WMI because GM Europe is based in Germany).
[h=4]Model year encoding[/h]One consistent element of the VIS is the 10th digit, which is required worldwide to encode the model year of the vehicle. Besides the three letters that are not allowed in the VIN itself (I, O and Q), the letters U and Z and the digit 0 are not used for the model year code. Note that the year code is the model year for the vehicle.
The year 1980 was encoded by some manufacturers, especially General Motors and Chrysler, as "A" (since the 17-digit VIN wasn't mandatory until 1981, and the "A" or zero was in the manufacturer's pre-1981 placement in the VIN), yet Ford and AMC still used a zero for 1980. Subsequent years increment through the allowed letters, so that "Y" represents the year 2000. 2001 to 2009 are encoded as the digits 1 to 9, and subsequent years are encoded as "A", "B", "C", etc.
[TABLE="class: wikitable"]
[TR]
[TH="bgcolor: #F2F2F2, align: center"]Code[/TH]
[TH="bgcolor: #F2F2F2, align: center"]Year[/TH]
[TH="bgcolor: #F2F2F2, align: center"][/TH]

[/TR]
[TR]
[TD]A =[/TD]
[TD]1980[/TD]
[TD][/TD]
[TD]L =[/TD]
[TD]1990[/TD]
[TD][/TD]
[TD]Y =[/TD]
[TD]2000[/TD]
[TD][/TD]
[TD]A =[/TD]
[TD]2010[/TD]
[TD][/TD]
[TD]L =[/TD]
[TD]2020[/TD]
[TD][/TD]
[TD]Y =[/TD]
[TD]2030[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]B =[/TD]
[TD]1981[/TD]
[TD][/TD]
[TD]M =[/TD]
[TD]1991[/TD]
[TD][/TD]
[TD]1 =[/TD]
[TD]2001[/TD]
[TD][/TD]
[TD]B =[/TD]
[TD]2011[/TD]
[TD][/TD]
[TD]M =[/TD]
[TD]2021[/TD]
[TD][/TD]
[TD]1 =[/TD]
[TD]2031[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]C =[/TD]
[TD]1982[/TD]
[TD][/TD]
[TD]N =[/TD]
[TD]1992[/TD]
[TD][/TD]
[TD]2 =[/TD]
[TD]2002[/TD]
[TD][/TD]
[TD]C =[/TD]
[TD]2012[/TD]
[TD][/TD]
[TD]N =[/TD]
[TD]2022[/TD]
[TD][/TD]
[TD]2 =[/TD]
[TD]2032[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]D =[/TD]
[TD]1983[/TD]
[TD][/TD]
[TD]P =[/TD]
[TD]1993[/TD]
[TD][/TD]
[TD]3 =[/TD]
[TD]2003[/TD]
[TD][/TD]
[TD]D =[/TD]
[TD]2013[/TD]
[TD][/TD]
[TD]P =[/TD]
[TD]2023[/TD]
[TD][/TD]
[TD]3 =[/TD]
[TD]2033[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]E =[/TD]
[TD]1984[/TD]
[TD][/TD]
[TD]R =[/TD]
[TD]1994[/TD]
[TD][/TD]
[TD]4 =[/TD]
[TD]2004[/TD]
[TD][/TD]
[TD]E =[/TD]
[TD]2014[/TD]
[TD][/TD]
[TD]R =[/TD]
[TD]2024[/TD]
[TD][/TD]
[TD]4 =[/TD]
[TD]2034[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]F =[/TD]
[TD]1985[/TD]
[TD][/TD]
[TD]S =[/TD]
[TD]1995[/TD]
[TD][/TD]
[TD]5 =[/TD]
[TD]2005[/TD]
[TD][/TD]
[TD]F =[/TD]
[TD]2015[/TD]
[TD][/TD]
[TD]S =[/TD]
[TD]2025[/TD]
[TD][/TD]
[TD]5 =[/TD]
[TD]2035[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]G =[/TD]
[TD]1986[/TD]
[TD][/TD]
[TD]T =[/TD]
[TD]1996[/TD]
[TD][/TD]
[TD]6 =[/TD]
[TD]2006[/TD]
[TD][/TD]
[TD]G =[/TD]
[TD]2016[/TD]
[TD][/TD]
[TD]T =[/TD]
[TD]2026[/TD]
[TD][/TD]
[TD]6 =[/TD]
[TD]2036[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]H =[/TD]
[TD]1987[/TD]
[TD][/TD]
[TD]V =[/TD]
[TD]1997[/TD]
[TD][/TD]
[TD]7 =[/TD]
[TD]2007[/TD]
[TD][/TD]
[TD]H =[/TD]
[TD]2017[/TD]
[TD][/TD]
[TD]V =[/TD]
[TD]2027[/TD]
[TD][/TD]
[TD]7 =[/TD]
[TD]2037[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]J =[/TD]
[TD]1988[/TD]
[TD][/TD]
[TD]W =[/TD]
[TD]1998[/TD]
[TD][/TD]
[TD]8 =[/TD]
[TD]2008[/TD]
[TD][/TD]
[TD]J =[/TD]
[TD]2018[/TD]
[TD][/TD]
[TD]W =[/TD]
[TD]2028[/TD]
[TD][/TD]
[TD]8 =[/TD]
[TD]2038[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]K =[/TD]
[TD]1989[/TD]
[TD][/TD]
[TD]X =[/TD]
[TD]1999[/TD]
[TD][/TD]
[TD]9 =[/TD]
[TD]2009[/TD]
[TD][/TD]
[TD]K =[/TD]
[TD]2019[/TD]
[TD][/TD]
[TD]X =[/TD]
[TD]2029[/TD]
[TD][/TD]
[TD]9 =[/TD]
[TD]2039[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
On April 30, 2008, the US National Highway Traffic Safety Administration adopted a final rule amending 49 CFR Part 565, "so that the current 17 character vehicle identification number (VIN) system, which has been in place for almost 30 years, can continue in use for at least another 30 years", in the process making several changes to the VIN requirements applicable to all motor vehicles manufactured for sale in the United States. There are three notable changes to the VIN structure that affect VIN deciphering systems:

  1. The make may only be identified after looking at positions 1–3 and another position, as determined by the manufacturer in the second section or 4–8 segment of the VIN.
  2. In order to identify exact year in passenger cars and multipurpose passenger vehicles with a GVWR of 10,000 or less, one must read position 7 as well as position 10. For passenger cars, and for multipurpose passenger vehicles and trucks with a gross vehicle weight rating of 10,000 lb (4,500 kg) or less, if position 7 is numeric, the model year in position 10 of the VIN refers to a year in the range 1980–2009. If position 7 is alphabetic, the model year in position 10 of VIN refers to a year in the range 2010–2039.
  3. The model year for vehicles with a GVWR greater than 10,000 lb (4,500 kg), as well as buses, motorcycles, trailers and low speed vehicles may no longer be identified within a 30-year range. VIN characters 1–8 and 10 that were assigned from 1980–2009 can be repeated beginning with the 2010 model year.

[/SUP]

Back
Top Bottom