Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekukubali mkuu.kama hujataja LIZOMBE bado hujakamilisha hiyo list kiongozi. Pale Morogoro kuna kitu inaitwa msakamale nayo ni noooma haya Mdundiko umeusahau. Kuna KAMBINDI pale Songea aka KAMBUSU hahhahaa hii bana raha mnoo kuicheza, sijui km kwa sasa wanaendelea kucheza. Enzi hizo miaka ya 1983-86 nikiwa songea mitaa ka kimolo, mateka, makambi, matogoro, baba ikifika saa mbili tuu usiku ni KAMBINDI kwa kwenda mbele!
Zile beats zake zikipigwa basi ukawa tunatafsiri eti Dombi eeeh sito...bi tena hahahahahhhhaha dah ilikuwa raha sana
sindimba je!mojawapo wa zile ngoma za asili maarufu ni hizi:gobo gobotokomilemgandabagika....................
Sana tu,mambo ya kusini hayo. Nalog offsindimba je!
Aisee mie ni mpenzi wa mchiriku kupita maelezo,kundi nilipendalo ni Jagwa Muzik. Nalog offMchiriku
hivi kiduku hua ni ngoma ya wapivile!!!NALOG OFFsana tu,mambo ya kusini hayo. Nalog off
Mie siijui ngoma,ila nimeona jinsi wanavyocheza ktk video ya Joti(mböna husomeki) Nalog offhivi kiduku hua ni ngoma ya wapivile!!!NALOG OFF
Mnaburudishia wapi niwatembelee?
Naujua Mdundiko na Mnanda nje ndani ndugu yangu. Nalog offHata mdundiko huujui mkuu?