Tubarizi kidogo na zile ngoma za asili za kwetu

Ulimakafu

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Posts
31,248
Reaction score
13,244
Mojawapo wa zile ngoma za asili maarufu ni hizi:
Gobo gobo
Tokomile
Mganda
Bagika
....................
 
kama hujataja LIZOMBE bado hujakamilisha hiyo list kiongozi. Pale Morogoro kuna kitu inaitwa msakamale nayo ni noooma haya Mdundiko umeusahau. Kuna KAMBINDI pale Songea aka KAMBUSU hahhahaa hii bana raha mnoo kuicheza, sijui km kwa sasa wanaendelea kucheza. Enzi hizo miaka ya 1983-86 nikiwa songea mitaa ka kimolo, mateka, makambi, matogoro, baba ikifika saa mbili tuu usiku ni KAMBINDI kwa kwenda mbele!
Zile beats zake zikipigwa basi ukawa tunatafsiri eti Dombi eeeh sito...bi tena hahahahahhhhaha dah ilikuwa raha sana
 
Nimekukubali mkuu.
 
Kwa sisi wapogoro wa Mahenge umesahau SANGURA...nimetoka kwtu Mahenge kuja DSM kucheza ngoma sangura...
 
Mnaburudishia wapi niwatembelee?

huku...:director:
ukipita kile kiuchochoro, unapinda kulia, unetembea kidogo halafu unapinda kulia tena, utaona nyumba ya bati, hapohapo
karibu
 
Natia timu punde.
 
Back
Top Bottom