University_Promo
JF-Expert Member
- Sep 29, 2018
- 749
- 661
Mmmmmh!Atakua kanunua Viewers
Alikiba anazo milion kumi sema tu hapend kujionesha
HahhhaaAli kiba alifikisha zamani sema hana makuu
Mark angel comedy kumbuka sio mtu mmoja[emoji41]Brother ao Dada labda East africa sio africa nzima banaaa waangaliye wale wa markangels Comedy na emmanuella na succes wana zaidi ya 4 millions. Sote twampenda domo ila sio kwa uongo uo
We ni mzima kweli ?TUBE NEWS maana Yake nini
Tuanzie hapo kwanza
Atakua kanunua Viewers
You Tube News.TUBE NEWS maana Yake nini
Tuanzie hapo kwanza
2M subscribers sio 2M viewers[emoji23][emoji23]Atakua kanunua Viewers
Kiba haangaik na hizo ishu sijui za sabuskraibas, viwas...Kesho clouds watamuuliza Kiba, mbona wewe huna sub wengi you tube? sijui atajibu vipi ngoja nisubiri.