TUBE NEWS: Diamond Platnumz awa wa kwanza kufikisha subscribers Million Mbili barani Afrika

TUBE NEWS: Diamond Platnumz awa wa kwanza kufikisha subscribers Million Mbili barani Afrika

University_Promo

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2018
Posts
749
Reaction score
661
Habari wapendwa!!
Kichwa cha habari kama kinavyo sema!!
Hit Maker wa "INAMA" DIAMOND PLATNUMZ maarufu Chibu Dangote a.k.a Baba yake Tiffa Dangote amekuwa wa kwanza kufikisha subscribers Million mbili katika mtandao wa You tube.
Uku akiwapiku wasanii kama Davido,WizKid,Rudeboy, na wengineo wengi.
Chanzo ni You Tube News.
HONGERA DIAMOND PLATNUMZ KUTUWAKILISHA TANZANIA.
HII NI YA KWANZA TANGU UHURU WETU TANZANIA.
 
Kesho clouds watamuuliza Kiba, mbona wewe huna sub wengi you tube? sijui atajibu vipi ngoja nisubiri.
 
TUBE NEWS maana Yake nini
Tuanzie hapo kwanza
You Tube News.
Kama umeelewa sawa na kama una maana yako tayari umeiandaa ya kwako siyo mbaya utakuwa kwenye List ya Konk ambapo watu wa clouds waliongoza list kwakutajwa.Pole sana wanaume wachache sana tangu Rambo zimepigwa maarufuku hapa bongo uku wanaume wakijiuza.
 
Kesho clouds watamuuliza Kiba, mbona wewe huna sub wengi you tube? sijui atajibu vipi ngoja nisubiri.
Kiba haangaik na hizo ishu sijui za sabuskraibas, viwas...
 
Back
Top Bottom