Kimwerymdodo5
JF-Expert Member
- Feb 10, 2019
- 2,043
- 3,305
ππππmungu anakuona ujueAlikiba anazo milion kumi sema tu hapend kujionesha
Hajanunua mkuu ukinunua views YouTube wanafahamu unakuwa umekiuka sheria zao hivyo ni ngumu sana na unafungiwa matangazo ya YouTube kuonekana kwenye channel yakoAtakua kanunua Viewers
Alikiba anazo milion kumi sema tu hapend kujionesha
Hongera Sana Serikali ya Awamu ya 5 kufanikisha Dimondi kuwa na SUBSCRIBERS Milioni 2.
Alikiba anazo milion kumi sema tu hapend kujionesha
Brother ao Dada labda East africa sio africa nzima banaaa waangaliye wale wa markangels Comedy na emmanuella na succes wana zaidi ya 4 millions. Sote twampenda domo ila sio kwa uongo uo
You Tube News.
Kama umeelewa sawa na kama una maana yako tayari umeiandaa ya kwako siyo mbaya utakuwa kwenye List ya Konk ambapo watu wa clouds waliongoza list kwakutajwa.Pole sana wanaume wachache sana tangu Rambo zimepigwa maarufuku hapa bongo uku wanaume wakijiuza.
Maoni yeru tunataka kuwaongezea tu kwamba PIA KUTOKA MOUTH NEWS inasemekana ndo MSANII MWENYE MDOMO MKUBWA ZAIDI AFRICA....anatuwakilisha vyema sana huyu jamaa.Timu kibamia tunataka tuone maoni yenu au hamjauona huu uzi?
Alifikisha Ma**ko embu tuwe serious MTU mvivu tena kaanza kukaaza baada ya kupambanishwa na Chibu bado mnampaisha2 wakati hata kwa akina Rayvany na Harmonize hafui dafu.. NyambafuAli kiba alifikisha zamani sema hana makuu
Kwani ni wanamuziki hao?Brother ao Dada labda East africa sio africa nzima banaaa waangaliye wale wa markangels Comedy na emmanuella na succes wana zaidi ya 4 millions. Sote twampenda domo ila sio kwa uongo uo