TUBE NEWS: Diamond Platnumz awa wa kwanza kufikisha subscribers Million Mbili barani Afrika

TUBE NEWS: Diamond Platnumz awa wa kwanza kufikisha subscribers Million Mbili barani Afrika

Timu kibamia tunataka tuone maoni yenu au hamjauona huu uzi?
 
Jamaa sio mchezo yule. Hata kama humpendi itajilazimisha tu maana kila mtu anamsikiliza. Jirani, mtoto, mke yaani familia nzima unakuta wanampenda.
Inabidi na wewe umpende kilazima japo inauma
 
Wabongo bana anae neema ni mwingine wao wanapigana vikumbo na matusi juu,wakati hakuna wanachopata
 
Hahahaha nimesoma comments za wasandawe/wazambuli kwenye huu uzi nimecheka hadi machozi
 
Wasamehe kaka hahahahahaaaaaa
Brother ao Dada labda East africa sio africa nzima banaaa waangaliye wale wa markangels Comedy na emmanuella na succes wana zaidi ya 4 millions. Sote twampenda domo ila sio kwa uongo uo
 
Zi umjuze kaka kwan n lazima kila mtu ajue kila kitu?
You Tube News.
Kama umeelewa sawa na kama una maana yako tayari umeiandaa ya kwako siyo mbaya utakuwa kwenye List ya Konk ambapo watu wa clouds waliongoza list kwakutajwa.Pole sana wanaume wachache sana tangu Rambo zimepigwa maarufuku hapa bongo uku wanaume wakijiuza.
 
Timu kibamia tunataka tuone maoni yenu au hamjauona huu uzi?
Maoni yeru tunataka kuwaongezea tu kwamba PIA KUTOKA MOUTH NEWS inasemekana ndo MSANII MWENYE MDOMO MKUBWA ZAIDI AFRICA....anatuwakilisha vyema sana huyu jamaa.
 
Ali kiba alifikisha zamani sema hana makuu
Alifikisha Ma**ko embu tuwe serious MTU mvivu tena kaanza kukaaza baada ya kupambanishwa na Chibu bado mnampaisha2 wakati hata kwa akina Rayvany na Harmonize hafui dafu.. Nyambafu
 
Brother ao Dada labda East africa sio africa nzima banaaa waangaliye wale wa markangels Comedy na emmanuella na succes wana zaidi ya 4 millions. Sote twampenda domo ila sio kwa uongo uo
Kwani ni wanamuziki hao?
 
Back
Top Bottom