Alex Fredrick
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 710
- 1,366
Utaifa haujengwi hivi ndugu,nenda kapitie madesa yako upya!Nchi Yetu Tanzania Kupitia Katiba yetu tumeruhusu mfumo wa Vyama vingi na Uchaguzi wa Kwanza wa Mfumo wa Vyama vingi tumeanza 1995
Toka miaka hiyo tumeshuhudia minyukano ya kisera na kiitikadi kwenye Vyama vyote
Pia tumeshuhudia minyukano ya wanasiasa na Wanaharakati kwenye medani za Kisiasa Nchini
Suala la watu kukosoana na kupishana mitazamo ni Jambo la kawaida kabisa kwa maana hutuwezi Kuwa na Nchi ambayo Wananchi wote Wakawa na mawazo sawa,
Kwahili la wageni kuingia Nchini na kuanza kumbagaza Rais wetu Mh Samia naomba kama Taifa tusikubali Abadan
Uhuru tulio nao ni Tunu kwahiyo tunapaswa kuulinda Kwa gharama yoyote pasi na wageni kutuingilia
Hili la juzi Wanaharakati Kutoka Kenya na kuja Nchini kutufundisha Demokrasia iwe mwanzo Mwisho
Tunawaheshimu majirani zetu na tuna Masuala mengi ya Msingi tunashirikiana vema Tu ila hili la juzi "Hapana"
Tunaweza Kuwa tunapishana na MH Rais Samia Kwa baadhi ya vitu ila kwa hili kama Taifa lazima tumlinde Rais wetu pasi na Itikadi zetu
Uhuru huo wawe wanafanya huko makwao na sio Kwetu maana Sisi hakuna mwanahakati yoyote ambaye aliwai kwenda Nchi jirani kuwafundisha namna kuongea na kupigania Haki za Binadamu
Tunaomba MH Rais Wetu na Amiri Jeshi Mkuu kwenye Masuala kama haya"Simama Imara Kama Mwamba"
Itoshe kusema majirani zetu tunawapenda Sana ila kwenye mambo yetu ya ndani Muwe na mipaka na iwe onyo la mwisho kurudia Upuuzi wenu huo
Alex
Wakati wa vita vya Iddy Amin waganda waliwaunga mkono wapiganaji kutoka Tanzania, ni kwanini hawakusimama na rais wao? Tunapotaka haki na chaguzi ziheshimiwe ni pamoja na kufanya taifa liwe pamoja. Hatuwezi kuwa wamoja na watesi wetu kisa rais katukanwa. Ifajamike rais ndio sehemu ya hujuma kwa walio nje ya matakwa ya chama chake. Tena usiombe ikatokea vita, tutakuwa upande wa adui waziwazi. Umoja utapatikana iwapo kuna haki, nje na hapo mkae kwa kutulia.Nchi Yetu Tanzania Kupitia Katiba yetu tumeruhusu mfumo wa Vyama vingi na Uchaguzi wa Kwanza wa Mfumo wa Vyama vingi tumeanza 1995
Toka miaka hiyo tumeshuhudia minyukano ya kisera na kiitikadi kwenye Vyama vyote
Pia tumeshuhudia minyukano ya wanasiasa na Wanaharakati kwenye medani za Kisiasa Nchini
Suala la watu kukosoana na kupishana mitazamo ni Jambo la kawaida kabisa kwa maana hutuwezi Kuwa na Nchi ambayo Wananchi wote Wakawa na mawazo sawa,
Kwahili la wageni kuingia Nchini na kuanza kumbagaza Rais wetu Mh Samia naomba kama Taifa tusikubali Abadan
Uhuru tulio nao ni Tunu kwahiyo tunapaswa kuulinda Kwa gharama yoyote pasi na wageni kutuingilia
Hili la juzi Wanaharakati Kutoka Kenya na kuja Nchini kutufundisha Demokrasia iwe mwanzo Mwisho
Tunawaheshimu majirani zetu na tuna Masuala mengi ya Msingi tunashirikiana vema Tu ila hili la juzi "Hapana"
Tunaweza Kuwa tunapishana na MH Rais Samia Kwa baadhi ya vitu ila kwa hili kama Taifa lazima tumlinde Rais wetu pasi na Itikadi zetu
Uhuru huo wawe wanafanya huko makwao na sio Kwetu maana Sisi hakuna mwanahakati yoyote ambaye aliwai kwenda Nchi jirani kuwafundisha namna kuongea na kupigania Haki za Binadamu
Tunaomba MH Rais Wetu na Amiri Jeshi Mkuu kwenye Masuala kama haya"Simama Imara Kama Mwamba"
Itoshe kusema majirani zetu tunawapenda Sana ila kwenye mambo yetu ya ndani Muwe na mipaka na iwe onyo la mwisho kurudia Upuuzi wenu huo
Alex
Nchi Yetu Tanzania Kupitia Katiba yetu tumeruhusu mfumo wa Vyama vingi na Uchaguzi wa Kwanza wa Mfumo wa Vyama vingi tumeanza 1995