Tubonge Jose Chameleone kachemka

Tubonge Jose Chameleone kachemka

bobinyo

New Member
Joined
Feb 5, 2014
Posts
3
Reaction score
0
..akipenda amwone ampe chochote kwani alimwona wapi.. hana NUMBER YAKE hana WALA hayupo facebook wala twitter..sura alificha alimwona wapi au alimuootah 2.??
ampe chochote atampa hata mapenzi..? ampende ivo hadi kumkaribisha kwake ale chakula chake ..duu ndio tuseme alimpenda alipomwona mara ya kwanza japo hakumwona sura mapenzi gani hayoo..?amemsubiri muda mrefu wakati hamjui? mmh wakati mwishoni anasema Aje amwonyeshe watoto wake ci itakuwa balaa kwa mkewe ..? kaka chameleone kachemka hamna ujumbe mzuri katika huuu wimbo..au mwenzangu unaonaje inawezekana labda cijauelewa vizuri huu wimbo
 
mie sijaelewa ulichoandika, sasa sijui huo wimbo ndio nitaelewa kweli?
 
..akipenda amwone ampe chochote kwani alimwona wapi.. hana NUMBER YAKE hana WALA hayupo facebook wala twitter..sura alificha alimwona wapi au alimuootah 2.??
ampe chochote atampa hata mapenzi..? ampende ivo hadi kumkaribisha kwake ale chakula chake ..duu ndio tuseme alimpenda alipomwona mara ya kwanza japo hakumwona sura mapenzi gani hayoo..?amemsubiri muda mrefu wakati hamjui? mmh wakati mwishoni anasema Aje amwonyeshe watoto wake ci itakuwa balaa kwa mkewe ..? kaka chameleone kachemka hamna ujumbe mzuri katika huuu wimbo..au mwenzangu unaonaje inawezekana labda cijauelewa vizuri huu wimbo

theheeee that's a gospel song my friend.... Jesus has no Facebook..no twitter..... hajawahi muona... kwanini asimuonyeshe Jesus familia yake? Jesus alisema atarudi....bado chamelion anasubiri.
think twice..
 
Ni nyimbo ya dini....Kamwimbia Mungu Baba....
 
Wewe kumbe huna akili kabisa bhana, fikiria kwanza kabla hujapost kitu humu
 
Akili yako ni mbovu kabisa wewe bobinyo, ni aibu kwa mtu kama ww kua member wa jf
 
Mi sikuelewaa yule mwanamke mwenye shela ndio nani Shetan au ndio alikua anamuimbia huyo mwanamke!!!!
 
Naupenda sana huu wimbo.., TUBONGE.., IT'S GOSPEL TIME.
 
theheeee that's a gospel song my friend.... Jesus has no Facebook..no twitter..... hajawahi muona... kwanini asimuonyeshe Jesus familia yake? Jesus alisema atarudi....bado chamelion anasubiri.
think twice..

Nimependa uelewa wako, wengi wanauliza jamaa alimsanisha nini na wanatoka kapa...

Ni fumbo zuri la GOSPEL
 
..akipenda amwone ampe chochote kwani alimwona wapi.. hana NUMBER YAKE hana WALA hayupo facebook wala twitter..sura alificha alimwona wapi au alimuootah 2.??
ampe chochote atampa hata mapenzi..? ampende ivo hadi kumkaribisha kwake ale chakula chake ..duu ndio tuseme alimpenda alipomwona mara ya kwanza japo hakumwona sura mapenzi gani hayoo..?amemsubiri muda mrefu wakati hamjui? mmh wakati mwishoni anasema Aje amwonyeshe watoto wake ci itakuwa balaa kwa mkewe ..? kaka chameleone kachemka hamna ujumbe mzuri katika huuu wimbo..au mwenzangu unaonaje inawezekana labda cijauelewa vizuri huu wimbo

Mkuu haujauelewa vizuri huo wimbo ametumia lugha si zaidi ya moja ktk huo wimbo,wa uganda wanauelewa vilivyo.na ndio maana hilo jisong limebamba ktk top ten za radio uganda
 
..akipenda amwone ampe chochote kwani alimwona wapi.. hana NUMBER YAKE hana WALA hayupo facebook wala twitter..sura alificha alimwona wapi au alimuootah 2.??
ampe chochote atampa hata mapenzi..? ampende ivo hadi kumkaribisha kwake ale chakula chake ..duu ndio tuseme alimpenda alipomwona mara ya kwanza japo hakumwona sura mapenzi gani hayoo..?amemsubiri muda mrefu wakati hamjui? mmh wakati mwishoni anasema Aje amwonyeshe watoto wake ci itakuwa balaa kwa mkewe ..? kaka chameleone kachemka hamna ujumbe mzuri katika huuu wimbo..au mwenzangu unaonaje inawezekana labda cijauelewa vizuri huu wimbo

angalia ie video ya wimbo
mbona inajieleza vizuri sana?wewe unaonekana hujui fasihi ndio maana unaandika non sense hapa

ok,kwa kifupi video ya wimbo inaonyesha kwamba jose amekua kionana na mwanamke katika ndoto,na akajikuta amempenda,huyo mwanamke alikua akimtokea katika ndoto ila sura yake imajificha(mask) sasa ndo anamuimbia akisema anatamani amuone japo kwa sura angejua jina lake angemtafuta facebook au twita ila ahatasura alificha,ukiangalia video unaelewa sema tu wewe kichwa ngumu unalipuka tu
 
theheeee that's a gospel song my friend.... Jesus has no Facebook..no twitter..... hajawahi muona... kwanini asimuonyeshe Jesus familia yake? Jesus alisema atarudi....bado chamelion anasubiri.
think twice..
Well said.....Ujue nimejiuliza sana huyu mtoa Mada amekosa uwezo hata wa kutafakari?? Na Mwishoni kabisa Chameleon amesema Its Gospel time now!!!..??
 
Naikubali sna hili nyimbo , jamaa ana saut nzur na anajua jins ya kuitumia. Napenda sana pale inapoanza ule mdundo ni shidaaaa, kaz nzur
 
angalia ie video ya wimbo
mbona inajieleza vizuri sana?wewe unaonekana hujui fasihi ndio maana unaandika non sense hapa

ok,kwa kifupi video ya wimbo inaonyesha kwamba jose amekua kionana na mwanamke katika ndoto,na akajikuta amempenda,huyo mwanamke alikua akimtokea katika ndoto ila sura yake imajificha(mask) sasa ndo anamuimbia akisema anatamani amuone japo kwa sura angejua jina lake angemtafuta facebook au twita ila ahatasura alificha,ukiangalia video unaelewa sema tu wewe kichwa ngumu unalipuka tu

Taratibu tu ataelewa jaman lugha kali mwisho mtu anaweza kimbia afu akajikwaa akaumia.
 
Tatizo mleta mada, ameshazoea nyimbo zile zinazoimbwa katika style ya mabata madogodogo yanaogele, yanaogelea ..... Hapa utasikia My sweet sweet my no1, Tupogo aye tupogo, cheza cheza bila kukunja goti nk, hivyo amesahau kuwa Muziki ni sanaa ambayo kwa mtu aliyekomaa anaweza kutunga na usimuelewe mpaka ufanyiwe uhakiki. Jamaa anabonga na Mungu baba kama anavyoeleza mkuu, ila sanaa ya kutumia mwanamke ndio naona imekupa taabu kuelewa.
 
Back
Top Bottom