Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
-------..akipenda amwone ampe chochote kwani alimwona wapi.. hana NUMBER YAKE hana WALA hayupo facebook wala twitter..sura alificha alimwona wapi au alimuootah 2.??
ampe chochote atampa hata mapenzi..? ampende ivo hadi kumkaribisha kwake ale chakula chake ..duu ndio tuseme alimpenda alipomwona mara ya kwanza japo hakumwona sura mapenzi gani hayoo..?amemsubiri muda mrefu wakati hamjui? mmh wakati mwishoni anasema Aje amwonyeshe watoto wake ci itakuwa balaa kwa mkewe ..? kaka chameleone kachemka hamna ujumbe mzuri katika huuu wimbo..au mwenzangu unaonaje inawezekana labda cijauelewa vizuri huu wimbo
Mi sikuelewaa yule mwanamke mwenye shela ndio nani Shetan au ndio alikua anamuimbia huyo mwanamke!!!!
thanks marafiki kwa kunielewesha nuilikuwa cijui