Tubonge kiingereza kidogo

Tubonge kiingereza kidogo

zagarinojo

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2020
Posts
2,622
Reaction score
2,846
Tubonge kiingereza kidogo basi sio kila siku Kiswahili bana. Kama unajua kiingereza. Tena wanasema kiingereza ndo chepesi kama Maji ya kutiririka.

Ndio lugha ya kielimu hakuna asiyeijua
 
Tubongee Kiitaliano...Pia


-Boia chi molla 88
 
@Chakorii we nikikutazama naona unakijua ila ndo vile wanaokijua huwa hawajioneshi[emoji23]
Ukinitazama au ukitazama mwandiko...najifunza mdogo wangu..unaonaje ukaanza kunipigisha pindi
 
Ukinitazama au ukitazama mwandiko...najifunza mdogo wangu..unaonaje ukaanza kunipigisha pindi
Haya tuanze I means Love Love means You You means You and Me Means Forever[emoji4]
 
Back
Top Bottom